2026 FIFA World Cup - Special Thread

Wakati tukimpongeza Messi kwa kuandika rekodi ya kwanza kwa dunia kuwa na mfungaji bora mwenye goli 20.


Tukumbushane na zile nchi ambazo alizifunga kwenye haya mashindano hadi kufikisha jumla ya idadi ya mabao 20.

๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ธ Serbia & Montenegro - 1
๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฆ Bosnia & Herzegovina - 1
๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท Iran - 1
๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฌ Nigeria - 3
๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฆ Saudi Arabia - 1
๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฝ Mexico - 1
๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡บ Australia - 1
๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ Algeria - 3
๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡น Austria - 2
๐Ÿ‡ฏ๐Ÿ‡ด Jordan - 1
๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ป Cape Verde - 1

Hayo ni magoli 16 kati ya magoli 20 aliyofunga.

Hayo manne mengine ni dhidi ya

๐Ÿ‡ญ๐Ÿ‡ท Croatia - 1 (penalty)
๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท France - 2 (1 penalty, 1 open-play goal)
๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฑ Netherlands - 1 (penalty)

So hapa tunaona goli 3 kati ya nne alizofunga kwenye hizi giant timu zilikuwa ni penalty.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ