2026 FIFA World Cup - Special Thread

Kwa taarifa yako tu kwenye Mashindano ya mwaka huu Messi hana Assist hata moja mpaka sasa.
Ilikuwa leo awe na assist ya 9 kanuni za FIFA zimeiondoa


Kauli ambazo zitatawala leo na kesho:

“Argentina hawafiki mbali kwa timu hii”

“Argentina ukimtoa Messi hakuna kitu”

Kama unaona Cape Verde ameonewa lete timu yako kumanina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…