2026 FIFA World Cup - Special Thread

Cape Verde wametupa mechi nzuri na kutukumbusha tusibweteke

Ni kama tulivyokumbushwa na Saudi Arabia WC ya 2022 pale Qatar
Nami hii nimeipenda, baada ya hii mechi Argentina wataongeza umakini sana watakapo kutana na team nyingine.
Messi 🐐 na wadogo zake wamejua kuturusha roho leo
 
Cape Verde wametupa mechi nzuri na kutukumbusha tusibweteke

Ni kama tulivyokumbushwa na Saudi Arabia WC ya 2022 pale Qatar
Kuna namna Scaloni ana uzembe alafu nafikiri hawamwambii ukweli, ile final na France alifanya mistake akamtoa Di Maria..

Tulianza kuhaha kuanzia alipofanya ile sub, nafikiri scaloni ana uzembe kwenye kufanya subs sahihi kwa wakati sahihi.

#Hallelujah!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…