Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,530
- 61,938
Game on
Kwa spain ilikua hivihivi kocha alidharau mechi, kikamrambaDaah ndio kwanza robo saa ya kwanza, hawa watachoja tu na watakufa nyingi
Inakera sana hii
Mbona kama offside?
Kirikuu mtu mbayaAisee, huyu jamaa.......
Hamna offside paleMbona kama alikuwa kazidi?
Wakienda penalties,Nahofu wanaweza kwenda penat
SidhaniKuna maelekezo maalumu kwa Waamuzi nini
Penati tunafikaje kwani sisi ni KMC?Wakienda penalties,
Argentina lazima aage na kurudi kwao.