Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,549
- 62,011
Messi anafanya attempt inayoishia nje…off target
Daah ndio kwanza robo saa ya kwanza, hawa watachoja tu na watakufa nyingiNahofu wanaweza kwenda penat
Aendelee kupiga chenga tu, tunamfatiliaKipa tunaye...
Naona kama kalewa sifa hivi, Leo anawachomaAendelee kupiga chenga tu, tunamfatilia
Kwa spain ilikua hivihivi kocha alidharau mechi, kikamrambaDaah ndio kwanza robo saa ya kwanza, hawa watachoja tu na watakufa nyingi