comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,131
- 16,168
Team pendu Leo watalala na hasira sana maana Messi anaenda kuwakaanga vibaya mno wareno wa africa
Bado dakika kadhaa tu mganga anatangaza biashara tu huyuHuyu mganga achapwe viboko popote alipoView attachment 3621776
France hujamtaja hapo.Huko mbele patakua patamu sana akipita Colombia na Argentina, Hawa vibonde wakapumzike imetosha
Huyo anapita mapema tuuFrance hujamtaja hapo.
Wanapoteza muda wao burekuna watu hawajalala kwaajil ya kumuombea mabaya Greatest Of All Time au nadanganya uran
Labda wamfunge pingu miguuni😂Ivi cape verde watamzuia messi kweli