2026 FIFA World Cup - Special Thread

Kabla ya Hilo tukio Kuna mido km sikoa touchmen wa ufaransa alimfanyia madhambi Messi katikat ya uwanja ikapigwa pasi ikamfikia kolo muan

messi alisukumwa na akapigwa kiatu akaanguka refar akameza filimbi
Kwanza hujajibu swali.

Swali limehoji je maamuzi ya refa kutotoa penalty yalikuwa sahihi?

Nipe maoni yako wewe kama mdau wa footbal kwa namna ulivyo jinasibu.

Pili mimi nimeweka evidence ya video na picha kabisa inayoonesha tukio na namna ambavyo ilivyo stahili kuamuliwa kwa mujibu wa sheria.

Wewe umeweka maneno matupu. Namimi nilijua isingekuwa rahisi kueleweka kama ningeongea bila kuweka ushahidi.

Na mind you, refa wa mechi hiyo baada ya mechi aliwahi kuhojiwa na Daily Express (UK) alikiri kufanya maamuzi mengi ya hovyo ya kuipendelea Argentina ikiwemo incident ya kusimamisha mpira kwa sekunde 30 baada ya France kufanya counter attack.
 
Sasa mpaka unavyo vianzisha wewe hujui maana yake. Sasa mimi utanielewaje? Sikulaumu kwakuwa umechaua mwenye kutonielewa na hautokuja kunielewa.
 
Sasa mpaka unavyo vianzisha wewe hujui maana yake. Sasa mimi utanielewaje? Sikulaumu kwakuwa umechaua mwenye kutonielewa na hautokuja kunielewa na bora husinielewa kabisa.
 
Niko nyuma ya Egyptians leo
Salaah must proceeds with the next stage ✌🏻
 
Hii simu sijaikumbuka kwa miaka mingi sasa. Imekuwaje umeiwaza 😂
Tecno Y3 ndio imefanya mapinduzi ya simu , baada ya kushusha bei mzigo washamba wengi wakaanza kumiliki smart phone na smart phones zikawa rahisi kupatikana .

Enzi hizo zinz hit ikuwa kati ya watu 10 Wenye smart phones basi 7 Wana Tecno Y3 ,ilikuwa kama simu ya taifa . Mimi niliikataa niliona Bora nikapasuke dukani kwa simu ya maana kuliko kununua simu ambayo karibia kila mtu anayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…