Pole sana kumbe ww shabiki wa amad, nilikua naiona IC ikifika mbali ila daah wachezaji wapumbafu. Natamani Senegal ashinnde ila nitaangalia bila matarajio yoyote kama ilivyo kwenye mechi hiiAah! Mi nilikuzidi hadi nikajuta kukaa macho bora ningelala zangu. Japo leo mecho ya Senegal saa tato nitaangalia pia sitaacha.
Kabisa usemacho na kwa goli hizi moja moja hadi mpira uishe ndo tunakuwa tumejihakikishia ushindi.
Kesho kwenye mechi ya Portugal ww na mwenzio angel nylon mtakimbia huu uzi
Subiri kidogo tu utaona maamuzi ya ajabu ya Refa.Congo anaangusha mkoloni huku jamani
Hata yeye mwenyewe hajui.Kane ana shida gani.....
Sawa, nyie si mnauhakika na njia yenu iliyo rahisishiwa na baba yake MessiKesho kwenye mechi ya Portugal ww na mwenzio angel nylon mtakimbia huu uzi
Wacongo wanapelekewa moto, labda bahati iwe upande waoSijui kwa nini tu ila nahisi Congo inatolewa leo…..
Tayari kuna mambo ya kipumbavu pumbavu ambayo washaanza kuyafanya.
Sijui kwa nini tu ila nahisi Congo inatolewa leo…..
Tayari kuna mambo ya kipumbavu pumbavu ambayo washaanza kuyafanya.
Kaokoa hatari nyingiKipa wa Congo anatoka sana golini.