Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,537
- 20,365
Huyo Nusa kala kadi.Kipindi cha kwanza hakuna kadi kabisa
Huyo Nusa kala kadi.Kipindi cha kwanza hakuna kadi kabisa
Astafu wakati ana miaka 22Kwanza Bonny alitakiwa awe amestaafu mpaka sasa
Blacknese😂😂😂Japanese Goalkeeper Mr Suzuki
View attachment 3619216
Kadi nimeiona mojaKipindi cha kwanza hakuna kadi kabisa
Mambo ya carter hayaBlacknese😂😂😂
Mi nilijua mapema Tu Ivory coast lazima watakuwa wanaongoza kabla ya mampuziko.Wanapata nafasi kibao wanashindwa kuzitumia
Nilijua ni Wilfred kumbe huyu dogo,huyu dogo hata mimi amenizidi miezi michache tuAstafu wakati ana miaka 22