Naona hapaDiallo keshaingia tayari
Daah😂Amekosekana Gamondi tu
Hata Man City huwa anafanya hivyohivyo kama team yake haishambuliiHivi Harlaand anafanya nn uwanjani?
Hawa Tembo wafunge Sasa..Norway anatolewa, wapo dhaifu mnoooo
Huyo ndo kawaida yake halafu mara tu unashtukia mpira upo kambaniHivi Harlaand anafanya nn uwanjani?
Hivi Harlaand anafanya nn uwanjani?
"Anytime to score" ukachagua HaalandHivi Harlaand anafanya nn uwanjani?