Malaika Gabrieli
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 3,524
- 6,593
Bonge la bao!
Bonge la bao!
Watu weusi wanapenda sana kuchezea shilingi chooni sijui kwa niniDah yaani
Leo pepe sijui anachangamoto gani au kaachwaUmaliziaji ni tabu
Hatujawahi kuwa na matumizi ya nafasiBalaaa
YupoLeo pepe sijui anachangamoto gani au kaachwa
Humuoni hapo.
Anataabika ila mpira haugusi nyavu
Kwanza Bonny alitakiwa awe amestaafu mpaka sasaWafungwentu watu wanaleta upumbavu golini. Huyo bonny ni wa kutoa nje
Kipindi cha kwanza hakuna kadi kabisaHT
Ivory Coast 0
Norway 1
Ndio najiuliza kwanini aanzie benchi mechi kama hii?Yupo bench
Hawa sio ArsenalWapumbavu wamepiga karibu kona mia, hamna hata moja ya maana.