2026 FIFA World Cup - Special Thread

FIFA World Cup sio NBC Premier Legue mkuu. FIFA wanaenda waamuzi wanaojitambua sio hawa vikaragosi wa TFF akina Arajiga na Victor Mwandiko.
Kabisa lakini process za kuwachagua huwa zinaanzia kwa viongozi wa ndani...then CECAFA then CAF so kina Karia wanamchango mkubwa kuwatoa Waamuzi wetu wa Ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…