2026 FIFA World Cup - Special Thread

Hebu tuambie jina limembeba vipi brazil
Jina ni Brazili πŸ‡§πŸ‡·πŸ‡§πŸ‡·

1. Brazil πŸ‡§πŸ‡·ndiyo nchi pekee waliotwaa taji πŸ‘‘ mara nyingi, mara 5.
1. Brazil πŸ‡§πŸ‡· ni nchi ya kwanza kuchukua Ubingwa nje ya bara lake 1958- Sweden. Bara Ulaya.
2. Brazil πŸ‡§πŸ‡· Ni nchi pekee iliyoshiriki fainali zote tokea zilipoanzishwa mwaka 1930- 2026 (96yrs).
3. Brazil πŸ‡§πŸ‡· ndiyo nchi yenye wachezaji wengi wenye majina makubwa kwenye mchezo wa soka Duniani.
4. Brazil πŸ‡§πŸ‡· ni nchi pekee miongoni mwa nchi zilizotwaa kombe la Dunia ambayo hajachukua Ubingwa kwenye ardhi ya nyumbani.
5. BrazilπŸ‡§πŸ‡· Ndiyo nchi inayopiga mpira mkubwa.
6. Brazil πŸ‡§πŸ‡· ni nyumbani kwa wachezaji wenye vipaji vikubwa walioacha majina yao kwenye WC pamoja nao ni Edson Arrantes do Nascimento 'PELE'
7. Brazil πŸ‡§πŸ‡·Ndiyo nchi iliyoandaa fainali za mfano za mwaka 1950 baada kusimama kwa miaka 12 kwa sababu ya vita kuu ya pili.
Mechi ya Fainali ilyochezwa july 16 1950 kwenye uwanja wa Maracana lilishuhudiwa na mashabiki 173,850, ambao asilimia 95 walikuwa wenyeji (Wabrazil).

Idadi hiyo ya watazamaji haijawahi kutokea popote kwenye kumbukumbu za mchezo wa soka ngazi ya timu za Taifa au hata virabu, na hilo halitarajiwi kutokea miaka ya hivi karibuni.
Rekodi hiyo imeishi kwa miaka 76 sasa.

Kwa sababu hiyo, zipo nchi zikisikia rekodi hizi, zinapoteza mchezo kabla mechi haijaanza.
 
Sasa hizi rekodi za zamani zinasaidia timu vipi kupata ushindi au zinawatisha wapinzani?
 
Hii chumvi ukiweka baharini Samaki wote wanakauka.
 
unashabikia historiaπŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…