Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,660
- 23,140
We si ulitaka tufungwe, hata hio nguvu ya kukupa Pole sinaAngel acha hivo japo nipe pole
Niliona Fabrizio akim quote Ancelot kuwa "Neymar ameimarika hivyo anastahili kucheza dakika zaidi ya 15"
So nikajia atampa hiyo nafasi acheze.
Hiyo sio ya kukesha ni ya kuamkaHivi Morocco alfajiri ya leo? Wazee wa kukesha!!
Roho mbaya kakufunza nani. Nyie mashabiki wa Ronald mbona mna roho za hivoWe si ulitaka tufungwe, hata hio nguvu ya kukupa Pole sina
Utu uzima dawa.FT
Japan 1
Brazil 2
Nao ni wajinga, hivi kweli walikuwa na ndoto za kuwafunga na kuwaondosha Brazil kwenye hatua hii?Time ya viliooo. Wanyamazisheni wajapan wenu ha ha haaaaa
Alishika nafasi ya pili ikamuharibia ratiba yake akaebda USAHivi Canada nae si alikuwa nae mipira nao walikuwa wameandaa viwanja
Alooh wakuu kamari inakutia uwenda wazimu congrats kwa brasil
Mi sijaona, matukio mengi kwenye hii mechi yamenipita kwasababu ya mkwamo wa internet.Nilijua ataingia, sa pale alikuwa anapasha nn?
Huyu pweza ngoja tuone,game ya Morocco sidhani,hata ya USKuna pweza huku๐
๐ Round of 32 Score Predictions
๐ฟ๐ฆ 0โ1 ๐จ๐ฆโ
๐ง๐ท 2โ1 ๐ฏ๐ตโ
๐ฉ๐ช 3โ1 ๐ต๐พ
๐ณ๐ฑ 1โ1 ๐ฒ๐ฆ
๐จ๐ฎ 1โ2 ๐ณ๐ด
๐ซ๐ท 3โ0 ๐ธ๐ช
๐ฒ๐ฝ 1โ1 ๐ช๐จ
๐ด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ 2โ0 ๐จ๐ฉ
๐ง๐ช 2โ1 ๐ธ๐ณ
๐บ๐ธ 1โ2 ๐ง๐ฆ
๐ช๐ธ 2โ0 ๐ฆ๐น
๐ต๐น 3โ2 ๐ญ๐ท
๐จ๐ญ 1โ0 ๐ฉ๐ฟ
๐ฆ๐บ 2โ1 ๐ช๐ฌ
๐ฆ๐ท 3โ0 ๐จ๐ป
๐จ๐ด 2โ2 ๐ฌ๐ญ