2026 FIFA World Cup - Special Thread

Timu za kiboya kama Uzbekistan ndiyo ziliinyima nafasi Italia.
Afadhali hata Congo na timu nyingine za Afrika zina nafuu kuliko hizi za Ulaya mashariki
Uzbekistan ni Asia, alafu hili ni kombe la dunia inatakiwa kushirikishwa mabara yote haijarishi timu za mabara mengine kiwango chao vipoje? Italia ni ujinga wao.
 
Cape Verde na Belgium mbona wameingia bila u loser?
Check tena source yako mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…