Palac
JF-Expert Member
- Mar 29, 2025
- 2,822
- 7,430
Jitahidi utazame mpira burudani kutoka spainMacho yanawasha kishenzi sidhani kama natoboa
Jitahidi utazame mpira burudani kutoka spainMacho yanawasha kishenzi sidhani kama natoboa
Hauendi kazini au biasharani.. hata hivyo Spain atafungwa na Uruguay Mpira una Maajabu snLeo weekend, Nasubiria mechi ya Spain. Nitalala mchana😉😉
Naweza kuhisi ili naona spain anacheza soft sana kana kwamba amemaliza Uruguay anamkimbiza tuHauendi kazini au biasharani.. hata hivyo Spain atafungwa na Uruguay Mpira una Maajabu sn
Wote wamekutana wababishaji tu na kama ikitokea mmoja wao akatunguliq kufunga basi tegemea mchezo wa ajabu kufatia maana uwanja utageuka vituo vya daladalaHawa Cape Verde wanataka kufunga magoli gani?
Hogera yao sasa inawapunguzia preshaSpain sasa inaongoza 1-0 dhidi ya Uruguay baada ya Álex Baena kufunga goli mnamo dakika ya 41 ya kipindi cha kwanza.
| Nafasi | Timu | Mechi | Ushindi | Sare | Vipigo | Magoli (+/-) | Alama | Hali ya Sasa |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 1 | 🇪🇸 Spain | 3 | 2 | 1 | 0 | +5 | 7 | Inafuzu (Kinara) |
| 2 | 🇨🇻 Cape Verde | 3 | 0 | 3 | 0 | 0 | 3 | Inafuzu (Nafasi ya 2) |
| 3 | 🇺🇾 Uruguay | 3 | 0 | 2 | 1 | -1 | 2 | Inatolewa |
| 4 | 🇸🇦 Saudi Arabia | 3 | 0 | 2 | 1 | -4 | 2 | Inatolewa |
Cape verde mpaka sasa hana shoot on target ata moja zaidi ya kadiGoli la Spain linawaweka Cape Verde pazuri.