joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 19,386
- 41,494
Ndio na wenzao wengine sita ambao leo hawakucheza akiwemo Sorloth.Odegard na halaand ndo wanaibeba norway mabegani hao wengine sita ni wazururaji tu
Ndio na wenzao wengine sita ambao leo hawakucheza akiwemo Sorloth.Odegard na halaand ndo wanaibeba norway mabegani hao wengine sita ni wazururaji tu
Kila la kheri kwaoooo.. wapite jamaniItagemea sasa na game zingine lakini
Baaaaaaasiiiiiii
Mbape ashasema yupo tayari asifunge ila tu France ipate ushindi wa kombe la dunia mwaka huuMkameruni mbappe ameshindwa kufunga Leo katoka amenunja vibaya mno
Hili kombe lina makipa wabovu sana hawaruki, hawajitumi likipigwa shuti wananyoosha mikono kiushahidi tu.Makipa wabovu
Ivoivo itajulikana mbele kwa mbele alimradi wavuke hatua hiiEwaaa best loser
Kumbuka hata hao wabondaji pia ni makobaziMakobaz wa kimbulu wamebondwa 5
MappedMapped ashasema yupo tayari asifunge ila tu France ipate ushindi wa kombe la dunia mwaka huu
Huruma sio maleziKila la kheri kwaoooo.. wapite jamani
Watakomaa mbele kwa mbeleeeeeHuruma sio malezi
Kweli kabisa mfano huyu wa IraqHili kombe lina makipa wabovu sana hawaruki, hawajitumi likipigwa shuti wananyoosha mikono kiushahidi tu.
Nimeandika kama kocha wa norway