Palac
JF-Expert Member
- Mar 29, 2025
- 2,840
- 7,519
Hakuna mwingine tena naona kocha wao leo anacheza na hisia za watu tuOdegadi na Halaand bila shaka
Hakuna mwingine tena naona kocha wao leo anacheza na hisia za watu tuOdegadi na Halaand bila shaka
Norway hana kikosi cha kumsumbua FranceHii mechi Norway kama angeanzishisha watu wake wote nane alio wapumzisha,France angekuwa na hali mbaya.
Subiri game iishe tuone ila anahitaji walau goli moja tu kua na uhakikaKwahiyo Senegal wanaenda mbele?
Anacho maana nimeziona beki zao zinafanya makosa ya kijinga ambayo lile Halaand halikuachi. Kumbuka wamepumzisha watu wanane.Norway hana kikosi cha kumsumbua France
Odegard na halaand ndo wanaibeba norway mabegani hao wengine sita ni wazururaji tuAnacho maana nimeziona beki zao zinafanya makosa ya kijinga ambayo lile Halaand halikuachi. Kumbuka wamepumzisha watu wanane.
Ndio wanaweza kupita kama Best looser ila itatrgemena na team nyingine kwenye makundi.Kwahiyo Senegal wanaenda mbele?
Iran ipi?Senegal 5-0 Iran
Ewaaa best loserSenegal latanoooooooo
Iran ipi?
Hakika kapigana vita vilivyo kundi lake lilikua gumuSenegal katupia la tano.