France 4Dakika za nyongeza zimebaki 2
Mbappe to score inaelekea kuchana.
Ndio tafsiri sahihi ya haijaisha mpaka iisheSenegal wanapenya kwenye tundu la sindano.
😁😁😁Ulikusudia kabisa mwanetu 🤣🤣🤣
Mapenzi na biashara haviendiFrance 4
Kibaya mbape to score haina cash out
NdioHivi kuna timu Africa imepiga mtu 5 kwenye match moja toka hii WC imeanza?
Typing error Santo sana
Ipi? Ili nirekebishe update yangu..Ndio