Umelifuta au halikuwepo🤣Nimelifuta hilo goli sasa.
Argentina 2
Austria 0
Ndo madhara ya kuangalia na shemeji zao sebulenMechi ipi ni 2-1 ?
Timu yako pendwa pia itakinywea hiki kikombe cha La Pulga, hilo ondoa shaka.Hakuna mechi hapo unaumiza macho yako bure tu sijajua ni kiburi cha Bima
England nawakubali ila kwa hapa hapanaDah!!
Argentina wanauzi sana.
Anyway England tutamzuia tu
Sema ile penati imeniuma nilitaka afunge hat-trick tena ila sio mbaya
Huyu 'jamaa' hatari aisee....
Huyu Messi hapana
😁😁😁utateseka sana we kijanaKwasababu ya hiiView attachment 3613405
Na hiiView attachment 3613406
Ndio akapata hii
View attachment 3613408
Mini GOAT ndio GOAT mdogo?Hapa nasoma upepo kuona vijana wa Pessi mmalizie hiyo furaha yenu baadaye na mimi niibuke na mini GOAT
View attachment 3613456