Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 52,695
- 130,564
Scars unajisikiaje lakini😂😂😂😂
View attachment 3613374
Scars unajisikiaje lakini😂😂😂😂
View attachment 3613374
Maumivu yake si kawaidaAmeweka rekodi ya kuwa mchezaji anayeongoza kwa kupiga penati nyingi kwenye World Cup lakini pia ndio mchezaji anayeongoza kwa kukosa penati nyingi kwenye World Cup.
Umeelewa kwanini tunamuita Pessi?
View attachment 3613373
Daah! Nimecheka sanaTukirudi tunapiga zetu mbili za chap mchezo unaisha hapoView attachment 3613370
Pessi hawezi kuonekana bora bila kum compare na RonaldoMessi ana magoli 4, Ronaldo mpaka sasa hana kitu. Wapi hiyoo sportslady ShesRise_1
Ok, ahsante kwa taarifa, endelea kuenjoy football, endelea kuenjoy uwepo wa lionel messi.Ameweka rekodi ya kuwa mchezaji anayeongoza kwa kupiga penati nyingi kwenye World Cup lakini pia ndio mchezaji anayeongoza kwa kukosa penati nyingi kwenye World Cup.
Umeelewa kwanini tunamuita Pessi?
View attachment 3613373
La Pulga the record breaker..Ameweka rekodi ya kuwa mchezaji anayeongoza kwa kupiga penati nyingi kwenye World Cup lakini pia ndio mchezaji anayeongoza kwa kukosa penati nyingi kwenye World Cup.
Umeelewa kwanini tunamuita Pessi?
View attachment 3613373
Pessi hawezi kuonekana bora bila kum compare na Ronaldo
Akifunga goli Pessi basi stori lazima iwe Ronaldo. Ronaldo akifunga goli stori kubwa ni Ronaldo
Hapo ndio utajua upi mninga na upi ni mpapai
View attachment 3613393
Kwamba Argentina inafungika?Hakuna standard zaidi ya Austria kutumia mbinu ambayo haitafanya kazi kwao.
Hili group hata Taifa Stars ingefuzuOk, ahsante kwa taarifa, endelea kuenjoy football, endelea kuenjoy uwepo wa lionel messi.
Pia usisahau ndie mfungaji bora wa muda wote wa mashindano ya kombe la dunia.
Goat lionel Messi💪💪
Sanaa .wanaacha mashimo mengi mno sema Austria wanakosa wamaliziajiKwamba Argentina inafungika?
Teh teh 😃 😃 tafuta timu ya kuifunga Argentina uanze kuitaja mapema...Hili group hata Taifa Stars ingefuzu
Insha-Allah tutaona kama kuna timu itafanikisha hiloSanaa .wanaacha mashimo mengi mno sema Austria wanakosa wamaliziaji
Hiyo picha ya tatu umezidisha sasa punguza kijanaKwasababu ya hiiView attachment 3613405
Na hiiView attachment 3613406
Na hii nyingine
View attachment 3613409
Ndio akapata hii
View attachment 3613408
NimeitoaHiyo picha ya tatu umezidisha sasa punguza kijana