2026 FIFA World Cup - Special Thread

Scotland wamefanya jaribio la haraka linapigwa ball hapa
 
Hali hiyo iliwahi mkuta mzee Scorali ingawa yeye alikaza kwa kuwaambia kubwa Brazil inaomakocha milioni ........akitaja namba sawa na population ya nchi, akimaanisha kubwa kila mtu ni kocha nchini Brazil huku yeye akijiita kiongozi wa makocha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…