Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 33,599
- 97,120
Kundi la kifala sana ili
Kundi la kifala sana ili
Xenophobia sijui wamepitaje pitaje. Ila wakipigwa ijayo wanasepa.Czechia na xenophobic country ndo vibonde wa kundi
Mechi ya saa 10 itakua 🔥🔥🔥Currently South Africa vs Czechia
Matokeo ni Sisi 1 wao Xenophobia 0
Dakika 83.
Baadae saa 4 ni Uswisi Vs Bosnia and Herzegovina
Saa saba usiku ni Canada vs Qatar
Saa 10 alfajiri ni Mexico vs South Korea
camel1.tvJe ni App ipi au website ipi naweza stream match online ?
Hakuna team ya maana
Hakuna team hapo wote wasumbufu tuBosnia wamejaribu kufanya shambulizi kali kidogo kwa mara ya kwanza.
0-0