Sikio la muazini
JF-Expert Member
- Jun 17, 2026
- 248
- 469
Sawa mkuu nimekujaSikio la muazini njoo hapa upate kila kitu.
Anacheza leo.... Portugal-Congoπππππ Kama ananijua vileeeeeee
Hivi CR7 wa nchi ganiii??? Ashastaafu boli???Β‘!πππππ
Cc Smart911
Dalili za mapema zimeanza kuonekana kuwa michuano imeanza kuwa riggedCha msingi wasiliharibu hili kombe kama walivyofanya 2022
Unafahamu maana ya neno princess?It's not a foul and not even a yellow when you're FIFA's princess
View attachment 3609665
View attachment 3609667
Hadi Prince nafahamuUnafahamu maana ya neno princess?
πππ nimeona comments zako inaonekana unamchukia Messi, why?Hadi Prince nafahamu
Nimelitumia kwa makusudi
Angalia hiyo post ya juu yakoπππ nimeona comments zako inaonekana unamchukia Messi, why?
Ugomvi flan wa ngumiWakey Wakey, Day dreamer π
View attachment 3609912
Na nawaona mmeanza kwa kishindo.Nipo mtani. Nipo mabingwa watetezi wa taji