Yaniiiii... naona na Messi leo ndo story ya asubuhiNinja turtle kawalaza na viatu wapwa zake
ππHivi huyo jamaa alishastafu boli??Messi =.baller
Cr7 huko aliko anahara damu na maji kwa pamoja
Am sorry, me sina uzalendo.. utamsalimia Bissaka, tukishawafunga sawa? ππLicha ya Uzalendo hawa Argentina hawapo hata kwenye 10 zangu!!
Sijui Ndugu zetu wa karibu kabisa wana Afrika mashariki watafanye hiyo saa mbili usiku dhidi ya Ureno! Wenye uchu na kombe.
Dah Aisee...Ni bahati kubwa sana umepata nafasi ya kumshuhudia Messi
Utakuja kuwahadithia wajukuu zako
Na uwanunulie zile seedless π kikontena 12,000. Achana na za Dom sahv chachuDah Aisee...
Kijana wangu anaishabikia Argentina na mwingine Ufaransa.
Wakiamka leo nina kazi yakununua zabibu π€£π€£π€£
Na hivyo timu zao zote zimeshinda tatu tatu
Hahq..darling MessiπFT
Arg 3- Algebra 0
πππ thank you darling Messi
Sijapoteza usingizi π©΅π©΅
ππHivi huyo jamaa alishastafu boli??
Mkuu ..kazi uko nayoππDah Aisee...
Kijana wangu anaishabikia Argentina na mwingine Ufaransa.
Wakiamka leo nina kazi yakununua zabibu π€£π€£π€£
Na hivyo timu zao zote zimeshinda tatu tatu
Za sh 3000 πWanapenda hizo chachu...π€£
Huyu jamaa amepazoea sana USAMajanga mzee