2026 FIFA World Cup - Special Thread

Niliweka under 2 kwa Spain na Verde..kuna dogo alisema wale Spain kwa gonga gonga zao wanaweza wasipate goli😀😀
Bora wewe hirizi ilibana mapema

Wengine wakafuata ushabiki eti kwakuwa kuna Lamine na Pedri

Tangu Portugal tuchukue ubingwa mbele ya Spain, sijawahi kuona lolote la maana kwenye yale ambayo anasifiwa nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…