Germany dhidi ya curacao ni matokeo yaliyokua yakitarajiwa hasa ukilinganisha ubora wa mchezaji mmoja mmoja kwa kila timuMkuu unaelewa unachokijadili lakini?
Umesema Curacao kapigwa goli 7-1 na ujerumani coz ni underdog,
Ndio maana nikakuuliza kua,kwa hiyo Brazil nae alipopigwa na Ujerumani goli 7-1 kwenye semi final,nae alikua underdog?
Underdog???Kakutana na underdog tu
Hawa Brazil wa sasa wakikutana na German bado watachapika sanaGermany dhidi ya curacao ni matokeo yaliyokua yakitarajiwa hasa ukilinganisha ubora wa mchezaji mmoja mmoja kwa kila timu
Germany na Brazil kisoka na ubora wa mchezaji viko sawa vinapishana kidogo tu hivyo
Una hate mabingwa?Si ni kesho tu hapo ngoja ifike tuone.
Licha ya kwamba mnacheza na mpinzani wa daraja la chini lakini nitakuwa na hate watch siku hiyo
View attachment 3607524
Subiri utazame game yake na Ivory Coast ndo tutamthaminisha
Nimeona aisee nao wako vizuriHuwa ni watu wa Strategic football....
Walizungua sana ila ile no.11 mgongoni ya CIV ya motoNimefurahi Ecuador wamelala yoo...
Nawacheki Tunisia vs Sweden hapa.
Daah noma.
Dakika 41 washachapwa viwili.
Japo timu langu ni Spain ila Cape Verde hunivutia sana wanavyo kichafua.Leo Spain atajipigia kuanzia goli 4+
Daah huna huruma kabisa South wangekutana na Ujerumani na zile red zao mbili wangelamba chumviMkuu mwache abatizwe na makaa ya motoššš
Hata mimiHawezi. Cape Verde chama langu naliamini.
Game kali ni mbili tu kwa leoMust watch Game!! Iran vs New Zealand: Usiku wa kuamkia kesho jumanne saa10 alfajiri𤫠ukiachana na hio ya Spain na cape Verde na Ubelgiji na Misri
Warembo kweli kweliTuone maua ya cape verde sasa