2026 FIFA World Cup - Special Thread

Wakuu jana raphinha katunyima brazil ushindi maana yeye ndio alikuwa weak link.

Alafu hawa morocco nilishajua jinsi ya kucheza nao. Kwanza kabisa walazimishe bono apige mipira mirefu kama sio yeye mpira uende kwa yule beki black naee akipiga mipira mingi fyongo. Kipindinchapi brazil walivyofanya hivyo morocco momentum ilikata.

Pili morocco wakipata mpira wa kugombani wanampelekea diaz...huyu unakaanae benet kabisa usimpe nafasi kabisaaa.

Tatu jamaa wakipiga mpira mrefu wakiwa wanatoka hawakabi...chance kama tatu ata goli la brazili limetokana na situation kama hii.

Ila don carlo kwa kweli raphinha kumaliza mechi kazingua ukizingatia hawa majaa wana analysts hapo wana mitambo unashindwaje kuona kuwa jamaa mipira ya 50 50 anapogeza pass anapogeza defending poor. Hili bwana don carlo inabidi awakaripie analyst na assistants wake na pia yeye mwenyewe arudi kwa mtengene,a miwani yake amrekebishie
 
Si ni kesho tu hapo ngoja ifike tuone.

Licha ya kwamba mnacheza na mpinzani wa daraja la chini lakini nitakuwa na hate watch siku hiyo

 
Matokeo ya Australia dhidi ya Uturuki hayakutegemewa. Kumbe huyu bwana mdogo ni mzaliwa wa Kigoma!
View attachment 3607448
Hawa australia walikuwa wanatupa mili mbele ya mipira yote....acha kabisa ila counter yao ile ya goli la kwanza balaaaa....gamondi akaanglie hii mechinaone jinsi ya kupiga counter
 
Jana raphinha katunyima ushindi
Kule Barca hachezi ile wing ya kulia. So experience ya winga ya kulia anakutana nayo tena hapo Brazil.

Pia hapo Brazil hakuna mafundi kama pale Barca akikutana na Lamine Yamal, Pedri, Gavi, Olmo na Frankie De Jong.
 
Hiyo line ya Mwisho umemaliza kibabe sana.
 
Ghana yupo kwenye kundi la Kifo.

DR Congo njia nyeupe..

Ivory Coast njia nyeupe

Algeria kazi anayo

Senegal kazi anayo

Morocco njia nyeupe japo Scotland ni timu ngumu

South Africa kazi anayo

Egypt njia nyeupe.

Hizo ndio timu zangu
Kwangu mimi naona timu za Africa NI Morocco na Senegal ndio watajinasua na Hii stage kidogo na cape Verde wakiwa serious
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…