2026 Dream Car!

Noma kinomanoma.Haukufukuzwa nyumbani kwako na mama-mtu?Huwa wanakereka sana ila hawajui kwa kutushtaki.
Nilikua geto man alone, na ndo ilikua mara yangu ya kwanza kupiga KIBUNZI, Tulikua kwenye kigrocery flan huko Iringa vijijini(Nilienda kufata mzigo). Jamaa nilikua nae akawa anaipiga hyo nikaona ngoja nionje (nimezurula mikoa mingi sana na nnapenda kuonja pombe za asili). Nikaona tamu lakini haileweshi ndo nkaichanganya na bia na konyagi. Boss wangu asingekua amenizoea kwa muda mrefu nilikua nafukuzwa kazi walahi.
 
Kwa ufupi ulipiga kitu cocktail aka MBABASA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…