2025 Nachagua Andazi, CCM Imenishinda

2025 Nachagua Andazi, CCM Imenishinda

Wanabodi ngoja leo nideclare interest mnajua Mimi ni CCM Damu yani ukichanja damu yangu ni CCM tu.

Lakini sasa CCM wamegusa maslai yangu tena inaniuma [emoji22][emoji22] Sana nilikuwa Tu nasikia Kwa watu unaweza ukadhulumiwa haki yako.

Miaka ya nyuma nilinunua mashamba sehemu cha ajabu na kinachonisikitisha Serikali ya CCM wanayataka Kwa nguvu wameweka na Wanajeshi pale wanajenga fensi kweli?

Na Hilo eneo Spika Tulia anajua na hayo mashamba ni ya wananchi na tulirudishiwa mbele ya Spika Tulia na waziri wa Ardhi wa kipindi hicho Lukuvi.

Saivi huyu Bashe anayataka kaanza kujenga wigo bila mawasiliano na wenye maeneo. Hayo mashamba tunalima toka 1974.

Nimeumia sana sana kuanzia Leo hiyo CCM imeniudhi Sana Sana mpaka nimeukumbuka wimbo wa Roma wa Maandazi na CCM.

Uchaguzi ujao Nachagua Andazi.
Hata ukichagua dampo ni sawa tuu maana hao hao ccm ndio wataongoza Serikali
 
kwani hao machifu wenu wa kinyakyusa hawajawasaidia kutatua huo mgogoro?kama bado mwiteni mbunge wenu tulia awatulize.
 
Wanabodi ngoja leo nideclare interest mnajua Mimi ni CCM Damu yani ukichanja damu yangu ni CCM tu.

Lakini sasa CCM wamegusa maslai yangu tena inaniuma [emoji22][emoji22] Sana nilikuwa Tu nasikia Kwa watu unaweza ukadhulumiwa haki yako.

Miaka ya nyuma nilinunua mashamba sehemu cha ajabu na kinachonisikitisha Serikali ya CCM wanayataka Kwa nguvu wameweka na Wanajeshi pale wanajenga fensi kweli?

Na Hilo eneo Spika Tulia anajua na hayo mashamba ni ya wananchi na tulirudishiwa mbele ya Spika Tulia na waziri wa Ardhi wa kipindi hicho Lukuvi.

Saivi huyu Bashe anayataka kaanza kujenga wigo bila mawasiliano na wenye maeneo. Hayo mashamba tunalima toka 1974.

Nimeumia sana sana kuanzia Leo hiyo CCM imeniudhi Sana Sana mpaka nimeukumbuka wimbo wa Roma wa Maandazi na CCM.

Uchaguzi ujao Nachagua Andazi.
Acha unafiki,kama umeweza kuwataja Lukuvi na Tulia kwa nini usiyataje maeneo husika?

Wewe ni mnafiki mkubwa wacha yakukute yanayo kukuta!
 
Kama gharama zake ni kubwa sana hicho kiwanja unaweza kuangalia utaratibu wa kupata malipo,lakn kama unaona gharama za hicho kiwanja ni kawaida unaweza kuachana nao
Ndugu kwa jinsi nilivyokuwa napambana hii CCM paka kuwa kiongozi uko kwenye Chama Chao nafikiria Sana Sana kupoteza haki yangu

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
We nenda tu bwana CCM ITABAKI MILELE.... KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI 💪
Nitaipa Kura CCM 2025, narudia tena kura yangu na ndugu zangu ni kwa CCM.
Itabaki milele kama watanzania umewafuga wewe
 
Wanabodi ngoja leo nideclare interest mnajua Mimi ni CCM Damu yani ukichanja damu yangu ni CCM tu.

Lakini sasa CCM wamegusa maslai yangu tena inaniuma [emoji22][emoji22] Sana nilikuwa Tu nasikia Kwa watu unaweza ukadhulumiwa haki yako.

Miaka ya nyuma nilinunua mashamba sehemu cha ajabu na kinachonisikitisha Serikali ya CCM wanayataka Kwa nguvu wameweka na Wanajeshi pale wanajenga fensi kweli?

Na Hilo eneo Spika Tulia anajua na hayo mashamba ni ya wananchi na tulirudishiwa mbele ya Spika Tulia na waziri wa Ardhi wa kipindi hicho Lukuvi.

Saivi huyu Bashe anayataka kaanza kujenga wigo bila mawasiliano na wenye maeneo. Hayo mashamba tunalima toka 1974.

Nimeumia sana sana kuanzia Leo hiyo CCM imeniudhi Sana Sana mpaka nimeukumbuka wimbo wa Roma wa Maandazi na CCM.

Uchaguzi ujao Nachagua Andazi.
Wapi huko mlikodhurumiwa mashamba yenu mkuu?
 
CCM hawategemei kura kukaa madarakani. Vyombo vya dola na tume isiyo huru ya uchaguzi ndio ushindi wao wa shuruti unapotokea.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom