2025 Nachagua Andazi, CCM Imenishinda

2025 Nachagua Andazi, CCM Imenishinda

Mkuu nilichelewa sana dah sana mpaka nimejuta
Mkuu nlikuwa napitia reply za wanabod humu lkn wamekupa replies shallow sana! Ila kimsingi wew ni boya! Kuporwa shamba tu unakuja kulia humu jf! Kwamba ukarudishiwa hicho kishamba chako utaendelea kuwa mccm? Utaendelea kunyamazia unyama wa ccm? Guy wapo watu wameporwa roho zao na ccm! Wengine walijeruhiwa vibaya na kuporwa haki ya ki Mungu ya kuombewa dua tu ili Mungu awaponye majeraha , guy ulikaa kimya roho wala haikukuuma na pengine ulishangalia na kuyasifu madhalimu! CHADEMA before 92 wapo na wanapambana ku extract uovu na ushetan wa ccm we upo tu! Huelewi? Ukome kabisa kutuletea habari zako za kikuda!
 
Ww ms*ng* nini? Kikuda Bibi yako nitole shobo hapa kama ww unaona Hilo dogo kwako Mimi ndo now CCM wamegusa maslai yangu

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
Wanabodi ngoja leo nideclare interest mnajua Mimi ni CCM Damu yani ukichanja damu yangu ni CCM tu.

Lakini sasa CCM wamegusa maslai yangu tena inaniuma [emoji22][emoji22] Sana nilikuwa Tu nasikia Kwa watu unaweza ukadhulumiwa haki yako.

Miaka ya nyuma nilinunua mashamba sehemu cha ajabu na kinachonisikitisha Serikali ya CCM wanayataka Kwa nguvu wameweka na Wanajeshi pale wanajenga fensi kweli?

Na Hilo eneo Spika Tulia anajua na hayo mashamba ni ya wananchi na tulirudishiwa mbele ya Spika Tulia na waziri wa Ardhi wa kipindi hicho Lukuvi.

Saivi huyu Bashe anayataka kaanza kujenga wigo bila mawasiliano na wenye maeneo. Hayo mashamba tunalima toka 1974.

Nimeumia sana sana kuanzia Leo hiyo CCM imeniudhi Sana Sana mpaka nimeukumbuka wimbo wa Roma wa Maandazi na CCM.

Uchaguzi ujao Nachagua Andazi.
Itawachukua muda mrefu kwa wajinga wa nchi hii kuelewa kuwa CCM ndio adui yao mkubwa.
 
Wanabodi ngoja leo nideclare interest mnajua Mimi ni CCM Damu yani ukichanja damu yangu ni CCM tu.

Lakini sasa CCM wamegusa maslai yangu tena inaniuma [emoji22][emoji22] Sana nilikuwa Tu nasikia Kwa watu unaweza ukadhulumiwa haki yako.

Miaka ya nyuma nilinunua mashamba sehemu cha ajabu na kinachonisikitisha Serikali ya CCM wanayataka Kwa nguvu wameweka na Wanajeshi pale wanajenga fensi kweli?

Na Hilo eneo Spika Tulia anajua na hayo mashamba ni ya wananchi na tulirudishiwa mbele ya Spika Tulia na waziri wa Ardhi wa kipindi hicho Lukuvi.

Saivi huyu Bashe anayataka kaanza kujenga wigo bila mawasiliano na wenye maeneo. Hayo mashamba tunalima toka 1974.

Nimeumia sana sana kuanzia Leo hiyo CCM imeniudhi Sana Sana mpaka nimeukumbuka wimbo wa Roma wa Maandazi na CCM.

Uchaguzi ujao Nachagua Andazi.
Nawe vipi? CCM itakushindaje wakati mgombea atakywa mama Samia? Wewe maandazi kula mapema siku hiyo ikifika upate nguvu ya kumpigia kura madam President.
 
Wanabodi ngoja leo nideclare interest mnajua Mimi ni CCM Damu yani ukichanja damu yangu ni CCM tu.

Lakini sasa CCM wamegusa maslai yangu tena inaniuma [emoji22][emoji22] Sana nilikuwa Tu nasikia Kwa watu unaweza ukadhulumiwa haki yako.

Miaka ya nyuma nilinunua mashamba sehemu cha ajabu na kinachonisikitisha Serikali ya CCM wanayataka Kwa nguvu wameweka na Wanajeshi pale wanajenga fensi kweli?

Na Hilo eneo Spika Tulia anajua na hayo mashamba ni ya wananchi na tulirudishiwa mbele ya Spika Tulia na waziri wa Ardhi wa kipindi hicho Lukuvi.

Saivi huyu Bashe anayataka kaanza kujenga wigo bila mawasiliano na wenye maeneo. Hayo mashamba tunalima toka 1974.

Nimeumia sana sana kuanzia Leo hiyo CCM imeniudhi Sana Sana mpaka nimeukumbuka wimbo wa Roma wa Maandazi na CCM.

Uchaguzi ujao Nachagua Andazi.
Sasa andazi litakusaidia nini
 
😅😅
 
Nkundwe Sr una dharau sana yaani unalinganisha andazi na vitu visivyo na faida.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom