2025 Nachagua Andazi, CCM Imenishinda

2025 Nachagua Andazi, CCM Imenishinda

Mtabaki wapinzani miaka yote Mimi na familia na kijj changu Kura ni kwa CCM
Migroup yenu nimeleft nimewapa na mtusi juu ww endelea Kula buku mbili za Lumumba si unalipwa
Screenshot_20230523-164711.jpg


Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
Pole pole sana Brother Nkundwe Sr tuliojitambua CCM tuliondoka baada ya kifo cha Magufuli CCM ya Kina Bashe sio tena CCM ya wanyonge wapo kimaslai zaidi na waangalia matumbo yao
 
Wanabodi ngoja leo nideclare interest mnajua Mimi ni CCM Damu yani ukichanja damu yangu ni CCM tu.

Lakini sasa CCM wamegusa maslai yangu tena inaniuma [emoji22][emoji22] Sana nilikuwa Tu nasikia Kwa watu unaweza ukadhulumiwa haki yako.

Miaka ya nyuma nilinunua mashamba sehemu cha ajabu na kinachonisikitisha Serikali ya CCM wanayataka Kwa nguvu wameweka na Wanajeshi pale wanajenga fensi kweli?

Na Hilo eneo Spika Tulia anajua na hayo mashamba ni ya wananchi na tulirudishiwa mbele ya Spika Tulia na waziri wa Ardhi wa kipindi hicho Lukuvi.

Saivi huyu Bashe anayataka kaanza kujenga wigo bila mawasiliano na wenye maeneo. Hayo mashamba tunalima toka 1974.

Nimeumia sana sana kuanzia Leo hiyo CCM imeniudhi Sana Sana mpaka nimeukumbuka wimbo wa Roma wa Maandazi na CCM.

Uchaguzi ujao Nachagua Andazi.
Hakika umechagua fungu lililo jema. Maana ccm ni kikundi cha watu fulani tu wapigaji wa keki ya Taifa.
 
We nenda tu bwana CCM ITABAKI MILELE.... KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI [emoji123]
Nitaipa Kura CCM 2025, narudia tena kura yangu na ndugu zangu ni kwa CCM.
ccm ibaki milele imekuwa mbingu na ardhi ccm lazima itokee 2025
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom