Kuna mada zake tayari labda niweke link zake'Punguza/acha ngono'... Mkuu hiki kipengele ungelikielezea chenyewe kama somo ama thread yenye kujitegemea.
Kusema juu juu tu 'acha nyama, acha ngono' bila maelezo ya kukazia hautaeleweka sawa sawa hasa kwa watu wanaofuatilia hekima zako.
Hapana kuna wepesi wa mwili, amani ya moyo na utulivu wa asili utapataSio ndo msongo wa kichwa utaongezeka

.Kwenye hayo mengine yote mi ni mtu wa kiasi. pamoja sana.amka mapema fanya mazoezi oga vaa vizuri hata kama huendi popote,
Nakuombea rafiki mwemaAsante kaka. Mungu nisaidie mwakani nianze mazoezi (hapa kila nikipanga visingizio haviishi).Mwaka huu wote aliekua ananimotivate tufanye mazoezi namwambie sina raba ngoja ninunue mpk mwaka umeisha.Kwenye hayo mengine yote mi ni mtu wa kiasi.
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Na je sisi tunaotumia simu na pc kama darasa? Mfano, kusikiliza "mafundisho" mbalimbali - spiritual and secular, kusomea vitabu vilivyo kwenye mfumo wa soft copy, kujifunza namna bora ya kilimo na ufugaji, n.k.
Hapo ni matumizi kwa ajili ya kupata maarifa bado sio shida ila lazima kuzingatia kiwango chakeNa je sisi tunaotumia simu na pc kama darasa? Mfano, kusikiliza "mafundisho" mbalimbali - spiritual and secular, kumsomea vitabu vilivyo kwenye mfumo wa soft copy, kujifunza namna bora ya kilimo na ufugaji, n.k.
Kiroho ina shida gani?! Nyama nyekundu au mpk nyeupe?!
Ushauri murua na uliojaa hekima, ila hofu yangu wenye kuuzingatia ni wenye hekima tu na ni wachache!Tunza mwili wako, akili na roho. Jipe muda wa miezi 6 ili uwe na mazoea ya kufanya mazoezi ya kujitunza na kujipenda.
Tumia simu kwa kiwango kidogo sana na kwa mambo muhimu tuu
amka mapema fanya mazoezi oga vaa vizuri hata kama huendi popote,
kula vyakula vya asili, epuka nyama, jisomee majarida na vitabu vyenye kufunza mambo mema
pata siku za mapumziko na mazoezi.
Punguza/acha ngono
Punguza/acha vilevi vyote
Tumia muda mwingi kuwa pekee na sehemu tulivu
Fanya Ibada kwa imani yako
Haya ndiyo maisha yako PEKEE. Fanya unachoweza kupenda na kufurahia kila kipengele chake.hakuna kusubiri zaidi.
Kuwa mtu ambaye umewahi kutamani kutaka kuwa. Hii haitakuwa kama siku zingine, wakati huu utabadilika, utashikamana na mazoea, utazoea na utaona matokeo.
Ninakuamini... Nakuombea..
View attachment 2846759
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, nitajuaje kiwango?Hapo ni matumizi kwa ajili ya kupata maarifa bado sio shida ila lazima kuzingatia kiwango chake
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiroho ina shida gani?! Nyama nyekundu au mpk nyeupe?!
Ukiwa kwenye usafiri sio tatizo, lakini ufikapo nyumbaniMkuu, nitajuaje kiwango?
Mimi hufanya hivyo mara nyingi baada ya kutoka kazini, au nikiwa kwenye chombo cha usafiri ikiwa dereva si mimi.
Mkuu, hivyo tu? Basi kwangu "kumebalance" vizuri🙏Ukiwa kwenye usafiri sio tatizo, lakini ufikapo nyumbani
Kuna muda wa familia
Kuna muda wa mlo
Kuna baadhi hata wakati wa chakula simu iko mkononi
Kuna muda wa kupumzika na kupumzisha akili
Kuna muda wa kukaa na mwandani wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru kwa ukumbusho huu, naamini Mungu atanisimamia kwa yote uloandika hapa. Aamiin.Tunza mwili wako, akili na roho. Jipe muda wa miezi 6 ili uwe na mazoea ya kufanya mazoezi ya kujitunza na kujipenda.
Tumia simu kwa kiwango kidogo sana na kwa mambo muhimu tuu
amka mapema fanya mazoezi oga vaa vizuri hata kama huendi popote,
kula vyakula vya asili, epuka nyama, jisomee majarida na vitabu vyenye kufunza mambo mema
pata siku za mapumziko na mazoezi.
Punguza/acha ngono
Punguza/acha vilevi vyote
Tumia muda mwingi kuwa pekee na sehemu tulivu
Fanya Ibada kwa imani yako
Haya ndiyo maisha yako PEKEE. Fanya unachoweza kupenda na kufurahia kila kipengele chake.hakuna kusubiri zaidi.
Kuwa mtu ambaye umewahi kutamani kutaka kuwa. Hii haitakuwa kama siku zingine, wakati huu utabadilika, utashikamana na mazoea, utazoea na utaona matokeo.
Ninakuamini... Nakuombea..
View attachment 2846759
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri murua na uliojaa hekima, ila hofu yangu wenye kuuzingatia ni wenye hekima tu na ni wachache!



