Kwa matumizi ya ofisi hakuna shidaKaka Mshana na sisi ambao simu ndiyo ofisi yetu tutaepukaje hilo?
Asante kaka
Asante sana, na iwe ikawe kama utushaurivyo, mafanikio yawe kwetu sote.Tunza mwili wako, akili na roho. Jipe muda wa miezi 6 ili uwe na mazoea ya kufanya mazoezi ya kujitunza na kujipenda.
Tumia simu kwa kiwango kidogo sana na kwa mambo muhimu tuu
amka mapema fanya mazoezi oga vaa vizuri hata kama huendi popote,
kula vyakula vya asili, epuka nyama, jisomee majarida na vitabu vyenye kufunza mambo mema
pata siku za mapumziko na mazoezi.
Punguza/acha ngono
Punguza/acha vilevi vyote
Tumia muda mwingi kuwa pekee na sehemu tulivu
Fanya Ibada kwa imani yako
Haya ndiyo maisha yako PEKEE. Fanya unachoweza kupenda na kufurahia kila kipengele chake.hakuna kusubiri zaidi.
Kuwa mtu ambaye umewahi kutamani kutaka kuwa. Hii haitakuwa kama siku zingine, wakati huu utabadilika, utashikamana na mazoea, utazoea na utaona matokeo.
Ninakuamini... Nakuombea..
View attachment 2846759
Sent using Jamii Forums mobile app
Wasasahiv wanajua sana tofaut na wazamanHakia, tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
Sometimes huwa nawaza great people, Wana similar feature nyingi.
Nime kuwa niki jitafakari sana, na kuona baadhi ya udhaifu wangu.
Kisha nika hitimisha ili nwe yule ninae mtaka, basi lazima niji katae mimi.
We think somehow alike bro Mshana Jr, nili taka kuandika Uzi wa namna hii- une niwahi
. Mshana Jr





Asante sana, na iwe ikawe kama utushaurivyo, mafanikio yawe kwetu sote.





Damu si nzuri ina uhai ulioondoshwa kwa lazimaUjumbe mzuri nmeuelewa. Asa nyama inahusu nn hapo
Nyama hasa nyekundu sio nzuri kiroho maranyingi hutumika ku initiate roho/maroho, jaribu kufuatilia wanaotoka asili za wafugaji na watu wa maeneo mengine kama pwani utajifunza kitu."Epuka nyama", kwani nyama ina shida gani mkuu?
Vitumbua 🤒Uzi mzito sana.