Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,446
- 829,811
- Thread starter
- #21
Biomes sanaMm najua Mshana utaacha vyote lakini sio Ulonzi na Pombe![]()



Sent using Jamii Forums mobile app
Biomes sanaMm najua Mshana utaacha vyote lakini sio Ulonzi na Pombe![]()



Nyama daily.Kivipi mkuu?
Nyama robo 3k tuNyama daily.
Kama ni kweli mshukuru Mungu sana
Kiroho na kiafya sio nzuri"Epuka nyama", kwani nyama ina shida gani mkuu?
Kabisa hata hiyo mshukuru Mungu.Nyama robo 3k tu
Sema AmenFanya usijaribu, sema Amen
Sema Amen
Amen 🙏Sema Amen
Lazima ujipange ili uweze kuenjoy. Maana akili inahitaji utulivu pia 😉Nyama nalo ni jambo la kujipanga 😃
Nimesoma nikiwa na hangover kichwaniUmesoma uzi kweli? 😀
Hii imeenda...Mm najua Mshana utaacha vyote lakini sio Ulonzi na Pombe😁
Na mimi hapo kwenye simu ni mtihani
Yote hayo nayaishi, kipengele cha matumizi ya simu kimekuwa kigumu kwangu.