Kinachonisikitisha ni kwamba zaidi ya nusu ya timu zote zinazoshiriki ni kutoka Afrika ya Magharibi tu (timu 14). Afrika kaskazini kwa waarabu wao wameambulia timu 7, halafu sehemu nyingine za Afrika zikaambulia timu 4 tu : Ethiopia, Commoro, Malawi na Zimbabwe. Afrika ya Mashariki tunacheza mpira gani?