2020 Wafanyakazi sector Binafsi tusali

2020 Wafanyakazi sector Binafsi tusali

Ni nzuri sana,maana napokea mshahara wangu toka serikalini kwa wakati na biashara zangu zinaingiza mapato bila tatizo
pongezi kwako,tazama na upande mwengine je wanapokea mishahara kwa wakati na biashara zao zinasonga mbele?
 
Mmetumia muda wenu mwingi kusifia "mahovyo hovyo" ya BWANA MKUBWA wenu, huku mkijidhalilisha uanaume wenu kwa kumwita mwenzenu KIDUME (sijui ninyi ni MAJIKE?), MWAMBA, JIWE, JEMEDARI n.k
Mnakuja kushituka BWANA WENU anazidi kuharibu nchi, anavuruga mahusiano ya kimataifa, anapandikiza chuki dhidi ya watanzania na kuwagawa, huku akina BASHITE, MAHAWARA, NA WAPAMBE NUKSI wakiendelea KUITAFUNA NCHI. Pumbavu zenu sana.
 
Ndugu zangu kama hujuwi kufa kachungulie kaburi. Huyu mkuu wa taifa ameamua maamuzi mazito na maamuzi nikujenga madaraja marefu na mamiradi makubwa yasio zingatia pato la taifa kinachofuwata ni kitu kibaya sana kwa sisi wachumi.

Ikumbukwe karibia nusu ya makusanyo analipa mishahara ya wafanyakazi na mbaya kuliko yote sisi nitegemezi. Kuna kila sura na picha mataifa ya nje yakabana fund wakati tunaenda kwenye uchaguzi kutokana na kile kimetokea serikali y amitaa.

Sasa sector nyingi huwenda zikakumbana na ukata mkubwa sana. Kiasi kupunguza watu mfano makampuni yanayo Tegemea soko la ndani yatashindwa kuzalisha kwa wingi maana watu hawana pesa kununua jambo litawafanya punguza watu.

Sector ya fedha ndio kabisa imeuwawa mchezo wakuangalia akaunti za watu umefanya watu kutoipenda bank nakuleta shida kubwa kwa mabank. Mbaya kuliko yote ni hali yawateja ktk mabank yabiashara inatisha sana. Haijawahi tokea.
Pia tukumbuke serikali na sera yake ya kuwa na sungle account ambapo kila kinacho okotezwa kinatupiwa BOt yani bank za biashara hazina kitu same unataka watu wakopeshwe je watakopeshwaje mikopo nafuu.
Kushuka kwa riba za mikopo sio kwamba ni hali nzuri ya kifedha bali ni kushuka kwa uhitaji wa mikopo jambo sio la afya ktk sector ya fedha.

Maamuzi magumu yanabudi kufanyika kuokoa sector ya fedha.

Kiukweli miradi hii itatupa hali ngumu sana
Ishi kwa akili.
yoyote anae lalamika katika awamu hii ujue wamemshika pabaya
 
Kuna watu wanaona kumpinga kichaa ni kazi ya vyama vya upinzani!!

Ngoja wanuke kinyesi ndio wataujua wajibu wao kwa kuchelewa.
 
Gavana wa B.O.T Anatakiwa atoe liquidity positions za Commercial Banks maana yeye ndie anayejuwa liquidity ratios za kila benki ya biashara.Mabenki ya biashara yanatakiwa yafanye deposit mobilization,watu wafanye biashara na benki badala ya kuzikwepa.Kama benki itatowa siri za wateja benki hizo zishitakiwe kwa kuwa sheria inakataza benki kutoa siri za wateja.Kama benki zinalazimishwa kufanya hivyo na vyombo vya maamuzi basi sheria hizo ziwe wazi kwa depositors hili wateja wasiogope kuweka akiba zao benki ''REMEMBER UHAI WA UCHUMI NI BENKI .NA HILI BENKI ZI ENDELEE KUSTAWI NI LIQUIDITY DEPOSITS .NA WATEJA WAWEKE FEDHA BENKI NI SECRECY''
 
Naunga mkono hoja

P
Baada ya utawala huu ingefanyika wealth audit ya watu wote ambao wako karibu na mfalme kubaini nini walimiliki na wanamiliki nini leo?
 
Mungu alishamaliza kazi yake ya kutupa akili , ni juu yetu kuamua
 
Gavana wa B.O.T Anatakiwa atoe liquidity positions za Commercial Banks maana yeye ndie anayejuwa liquidity ratios za kila benki ya biashara.Mabenki ya biashara yanatakiwa yafanye deposit mobilization,watu wafanye biashara na benki badala ya kuzikwepa.Kama benki itatowa siri za wateja benki hizo zishitakiwe kwa kuwa sheria inakataza benki kutoa siri za wateja.Kama benki zinalazimishwa kufanya hivyo na vyombo vya maamuzi basi sheria hizo ziwe wazi kwa depositors hili wateja wasiogope kuweka akiba zao benki ''REMEMBER UHAI WA UCHUMI NI BENKI .NA HILI BENKI ZI ENDELEE KUSTAWI NI LIQUIDITY DEPOSITS .NA WATEJA WAWEKE FEDHA BENKI NI SECRECY''
Safi kabisa, washitakiwe kama walishughulikiwa makampuni ya simu yaliyotoa mawasiliano ya Wale viongozi hadharani.
 
Unaonekana huna taaluma ya uendeshwaji wa mabenki umekurupuka kuja kuandika kitu usichokielewa.
Ungenikosoa kwa vina ningekuheshim sana. Ila uchumi ni chakula changu... Na bank ndio matandiko yangu
 
Mbona mabenki yanatengeneza faida hadi kutoa gawio!
Ina maana ni chui wa karatasi?
Ndugu zangu kama hujuwi kufa kachungulie kaburi. Huyu mkuu wa taifa ameamua maamuzi mazito na maamuzi nikujenga madaraja marefu na mamiradi makubwa yasio zingatia pato la taifa kinachofuwata ni kitu kibaya sana kwa sisi wachumi.

Ikumbukwe karibia nusu ya makusanyo analipa mishahara ya wafanyakazi na mbaya kuliko yote sisi nitegemezi. Kuna kila sura na picha mataifa ya nje yakabana fund wakati tunaenda kwenye uchaguzi kutokana na kile kimetokea serikali y amitaa.

Sasa sector nyingi huwenda zikakumbana na ukata mkubwa sana. Kiasi kupunguza watu mfano makampuni yanayo Tegemea soko la ndani yatashindwa kuzalisha kwa wingi maana watu hawana pesa kununua jambo litawafanya punguza watu.

Sector ya fedha ndio kabisa imeuwawa mchezo wakuangalia akaunti za watu umefanya watu kutoipenda bank nakuleta shida kubwa kwa mabank. Mbaya kuliko yote ni hali yawateja ktk mabank yabiashara inatisha sana. Haijawahi tokea.
Pia tukumbuke serikali na sera yake ya kuwa na sungle account ambapo kila kinacho okotezwa kinatupiwa BOt yani bank za biashara hazina kitu same unataka watu wakopeshwe je watakopeshwaje mikopo nafuu.
Kushuka kwa riba za mikopo sio kwamba ni hali nzuri ya kifedha bali ni kushuka kwa uhitaji wa mikopo jambo sio la afya ktk sector ya fedha.

Maamuzi magumu yanabudi kufanyika kuokoa sector ya fedha.

Kiukweli miradi hii itatupa hali ngumu sana
Ishi kwa akili.
 
Mabillioni wanayorudisha mafisadi unafikiri yanaenda wapi ?
Ila kwakweli miradi mikubwa jamaa anaizindua kila siku, halafu anajinasibu tunatumia pesa zetu za ndani, hivi hizo pesa za ndani wanazitoa wapi, kama kwenye kulipa kodi mbona biashara zinafungwa kila siku sababu wanunuzi hawana pesa mifukoni, sasa hii kodi tunayoambiwa na TRA kila mwezi imeongezeka inatoka wapi?

Binafsi naona bora waseme tu ukweli, tunakopa toka sehemu tofauti kwa ajili ya kuendeleza hiyo miradi, na kwanini tunajenga vipya vya gharama kila siku wakati hali yetu ya uchumi hairuhusu, si bora ujenge kwa mpangilio, kimoja baada ya kingine, hata Roma haikujengwa kwa siku moja, mnawaumiza wenye vipato vya chini, mishahara hampandishi mwaka wa nne watu wanateseka tu.
 
Mabillioni wanayorudisha mafisadi unafikiri yanaenda wapi ?
Fisadi yupi aliyerudisha fedha? Au unasema chenji anayokabidhiwa dci ambayo anaihifadhi ofisini kwake Hadi watu wakaenda kuivunja ofisi wakizisaka na huenda walizikomba! Ccm acheni sanaa kwenye uchumi wa taifa!
 
Punguza jazba Ndugu si kila anaeongea tofauti na wewe ni ccm, Ni sanaa ipi labda..
 
Mkuu CCM ina wachumi waliobobea digrii 4 na kuendelea hali itakuwa nzuri tu
sema kuna wasomi uchwara kama Kabudi ambao miaka nenda rudi wameshindwa ku come up with a plan to make serious economic changes kwenye hili taifa for good
 
Ndugu zangu kama hujuwi kufa kachungulie kaburi. Huyu mkuu wa taifa ameamua maamuzi mazito na maamuzi nikujenga madaraja marefu na mamiradi makubwa yasio zingatia pato la taifa kinachofuwata ni kitu kibaya sana kwa sisi wachumi.

Ikumbukwe karibia nusu ya makusanyo analipa mishahara ya wafanyakazi na mbaya kuliko yote sisi nitegemezi. Kuna kila sura na picha mataifa ya nje yakabana fund wakati tunaenda kwenye uchaguzi kutokana na kile kimetokea serikali y amitaa.

Sasa sector nyingi huwenda zikakumbana na ukata mkubwa sana. Kiasi kupunguza watu mfano makampuni yanayo Tegemea soko la ndani yatashindwa kuzalisha kwa wingi maana watu hawana pesa kununua jambo litawafanya punguza watu.

Sector ya fedha ndio kabisa imeuwawa mchezo wakuangalia akaunti za watu umefanya watu kutoipenda bank nakuleta shida kubwa kwa mabank. Mbaya kuliko yote ni hali yawateja ktk mabank yabiashara inatisha sana. Haijawahi tokea.
Pia tukumbuke serikali na sera yake ya kuwa na sungle account ambapo kila kinacho okotezwa kinatupiwa BOt yani bank za biashara hazina kitu same unataka watu wakopeshwe je watakopeshwaje mikopo nafuu.
Kushuka kwa riba za mikopo sio kwamba ni hali nzuri ya kifedha bali ni kushuka kwa uhitaji wa mikopo jambo sio la afya ktk sector ya fedha.

Maamuzi magumu yanabudi kufanyika kuokoa sector ya fedha.

Kiukweli miradi hii itatupa hali ngumu sana
Ishi kwa akili.
Mkuu, tatizo la Mheshimiwa ni kutaka kujionyesha yupo tofauti kimkakati na aliyemtangulia. Katika suala zima la "monetary policy" anachemsha sana, na ndiyo maana alishindwana na Prof. Ndulu, gavana wa BOT aliyemtangulia huyu wa sasa.

Katika nchi zenye uchumi tegemezi kama wa Tanzania, "contractory policies" hazijawahi kuwa na tija kwa sababu zinasababisha mzunguko wa fedha kuwa mgumu, kitu ambacho tunakishuhudia nchini hivi sasa. Hata kama "deliberately measures" zingalikuwa ndiyo "focus" basi ingalifanyika kwa muda mfupi tu, na kisha kurudi ktk "expansionary policies" ambazo ndizo zenye kuiendesha kwa tija sekta nzima binafsi na mitaji ya kibiashara.
 
Ndo kulimia meno huko hili trela hadi wote tutapark hizo IST kwa kukosa mafuta.Ni rahisi kuwatawala wenye njaa kuliko wenyeshibe
 
Back
Top Bottom