2020 Wafanyakazi sector Binafsi tusali

2020 Wafanyakazi sector Binafsi tusali

Utaratibu wa kupata uwezo kwa kwenda mambele kubeba maboksi lazima nihakikishe nautimiza. Siwezi kufa kizembe hapa nyumbani, uzalendo sio chanzo cha kunilazimisha kuwa maskini. Naipenda nchi yangu lakini kama haiwezi kunipa mwanga lazima niikatae kwa muda, nikirudi nije na uwezo wa kulipa kodi zao hizi
 
Namuina TumainEl mpya, tofauti na yule wa enzi za Saa8, laiti wengi wangeungama kama wewe, Leo nimeanza kumuombea KaweJunction pia atubu
Atakua alipigwa chini,nothing is permanent.....
 
Huyu TumainiEl mnafiki sana! Katupwa nje ya uzio wa kula sasa akili zimemurudi! Kafie mbali na njaa zako! Sisi tunajenga madaraja!
Fedha zipo za kutosha ila wewe ndo huna fedha!
 
Ila kwakweli miradi mikubwa jamaa anaizindua kila siku, halafu anajinasibu tunatumia pesa zetu za ndani, hivi hizo pesa za ndani wanazitoa wapi, kama kwenye kulipa kodi mbona biashara zinafungwa kila siku sababu wanunuzi hawana pesa mifukoni, sasa hii kodi tunayoambiwa na TRA kila mwezi imeongezeka inatoka wapi?

Binafsi naona bora waseme tu ukweli, tunakopa toka sehemu tofauti kwa ajili ya kuendeleza hiyo miradi, na kwanini tunajenga vipya vya gharama kila siku wakati hali yetu ya uchumi hairuhusu, si bora ujenge kwa mpangilio, kimoja baada ya kingine, hata Roma haikujengwa kwa siku moja, mnawaumiza wenye vipato vya chini, mishahara hampandishi mwaka wa nne watu wanateseka tu.
Kuna mwalimu wetu.mmoja alikuwa na tabia ya kutuchapa viboko, na husimama pale tu kiboko chaje kinapokatika au kunyambuka. Sasa muombe muwe wengi lakini mukiwa wachache mutakula viboko mpaka haja ndogo itoke.

Back to the point, hawa wachache waliobakia kwenye biashara ndio wanalipa kodi za wenziwao waliofunga biashara. Na kila wakipungua na kodi inazidi. Al muhimu ni kuwa makusanyo yanabakia kuwa constant. Ikitokezea hakuna wa kulipa kodi, tutaanza kulipa kodi ya miguu kwa sababu vichwa ni vichache kuliko miguu!
 
Ndugu zangu kama hujuwi kufa kachungulie kaburi. Huyu mkuu wa taifa ameamua maamuzi mazito na maamuzi nikujenga madaraja marefu na mamiradi makubwa yasio zingatia pato la taifa kinachofuwata ni kitu kibaya sana kwa sisi wachumi.

Ikumbukwe karibia nusu ya makusanyo analipa mishahara ya wafanyakazi na mbaya kuliko yote sisi nitegemezi. Kuna kila sura na picha mataifa ya nje yakabana fund wakati tunaenda kwenye uchaguzi kutokana na kile kimetokea serikali y amitaa.

Sasa sector nyingi huwenda zikakumbana na ukata mkubwa sana. Kiasi kupunguza watu mfano makampuni yanayo Tegemea soko la ndani yatashindwa kuzalisha kwa wingi maana watu hawana pesa kununua jambo litawafanya punguza watu.

Sector ya fedha ndio kabisa imeuwawa mchezo wakuangalia akaunti za watu umefanya watu kutoipenda bank nakuleta shida kubwa kwa mabank. Mbaya kuliko yote ni hali yawateja ktk mabank yabiashara inatisha sana. Haijawahi tokea.
Pia tukumbuke serikali na sera yake ya kuwa na sungle account ambapo kila kinacho okotezwa kinatupiwa BOt yani bank za biashara hazina kitu same unataka watu wakopeshwe je watakopeshwaje mikopo nafuu.
Kushuka kwa riba za mikopo sio kwamba ni hali nzuri ya kifedha bali ni kushuka kwa uhitaji wa mikopo jambo sio la afya ktk sector ya fedha.

Maamuzi magumu yanabudi kufanyika kuokoa sector ya fedha.

Kiukweli miradi hii itatupa hali ngumu sana
Ishi kwa akili.
As long as upinzani unakufa na kuiacha ccm pekee sisi wanaccm roho kwatu kabisa,hayo mambo ya sijui fedha au ajira au uchumi sisi hayatuhusu.kinachotuhusu sisi ni kuvaa mavazi yetu ya kijani mtaani kwa amani
 
Wewe mpiga dili utakuwa njia zako zimebinywa unakuja kulialia tu hapa..

Sisi Wazalendo tupo pamoja na Rais wetu..
 
Kuna mwalimu wetu.mmoja alikuwa na tabia ya kutuchapa viboko, na husimama pale tu kiboko chaje kinapokatika au kunyambuka. Sasa muombe muwe wengi lakini mukiwa wachache mutakula viboko mpaka haja ndogo itoke.

Back to the point, hawa wachache waliobakia kwenye biashara ndio wanalipa kodi za wenziwao waliofunga biashara. Na kila wakipungua na kodi inazidi. Al muhimu ni kuwa makusanyo yanabakia kuwa constant.
Na hao wachache watakapochemsha na kufunga tutaanza kuchukua pesa toka kwenye account za watu kama inavyofanyika zimbabwe
 
Kwa wenye akili kubwa ndiyo watakuelewa
Ndugu zangu kama hujuwi kufa kachungulie kaburi. Huyu mkuu wa taifa ameamua maamuzi mazito na maamuzi nikujenga madaraja marefu na mamiradi makubwa yasio zingatia pato la taifa kinachofuwata ni kitu kibaya sana kwa sisi wachumi.

Ikumbukwe karibia nusu ya makusanyo analipa mishahara ya wafanyakazi na mbaya kuliko yote sisi nitegemezi. Kuna kila sura na picha mataifa ya nje yakabana fund wakati tunaenda kwenye uchaguzi kutokana na kile kimetokea serikali y amitaa.

Sasa sector nyingi huwenda zikakumbana na ukata mkubwa sana. Kiasi kupunguza watu mfano makampuni yanayo Tegemea soko la ndani yatashindwa kuzalisha kwa wingi maana watu hawana pesa kununua jambo litawafanya punguza watu.

Sector ya fedha ndio kabisa imeuwawa mchezo wakuangalia akaunti za watu umefanya watu kutoipenda bank nakuleta shida kubwa kwa mabank. Mbaya kuliko yote ni hali yawateja ktk mabank yabiashara inatisha sana. Haijawahi tokea.
Pia tukumbuke serikali na sera yake ya kuwa na sungle account ambapo kila kinacho okotezwa kinatupiwa BOt yani bank za biashara hazina kitu same unataka watu wakopeshwe je watakopeshwaje mikopo nafuu.
Kushuka kwa riba za mikopo sio kwamba ni hali nzuri ya kifedha bali ni kushuka kwa uhitaji wa mikopo jambo sio la afya ktk sector ya fedha.

Maamuzi magumu yanabudi kufanyika kuokoa sector ya fedha.

Kiukweli miradi hii itatupa hali ngumu sana
Ishi kwa akili.
 
Ukiona hivyo ujue kakatiwa mrija wa kutumbua keki ya taifa.

Siku hizi kawa mpole kama Kobe damu za watanzania wasio na hatia zinamlilia.
Namuina TumainEl mpya, tofauti na yule wa enzi za Saa8, laiti wengi wangeungama kama wewe, Leo nimeanza kumuombea KaweJunction pia atubu
 
Hutaki tena teuzi?
Naunga mkono hoja

P
 
Jana nilikaa na staff wa tra mkoa fulani anasema uwezo wa kukusanya mapato umepungua sana na wameshindwa kufikia malengo kabisa
Naomba nikae frontline kwenye hii topic ,as years goes on uchumi unakua worse
 
Huna jipya kabisa,kwa hiyo wewe ndo unajua sana masuala ya uchumi kuliko viongozi wa chama na serikali?
 
Ndugu yangu Tumaini El!kwanini usifungue kanisa kabisa la maombi na sala za kumuomba mungu amtundike NAAMANI MTINI????Nyie wenyewe ndo mmemuweka MTAABISHAJI WA WAISRAEL nendeni mkatubu kwa muumba ili atuhurumie kwa kumtundika NAAMANI juu ya mti!!!!!fanya hayo ndugu!!msalimie BEN SAANANE MWAMBIE BINTI YAKE MWAKANI ANAANZA DARASA LA KWANZA ANAMPENDA NA ANA MSALIMIA SANA!!!!!!mwambie BEN KUWA mke wake ana presha ya kupanda tangu ulipotoweka!!!!!!!!
 
Ndugu zangu kama hujuwi kufa kachungulie kaburi. Huyu mkuu wa taifa ameamua maamuzi mazito na maamuzi nikujenga madaraja marefu na mamiradi makubwa yasio zingatia pato la taifa kinachofuwata ni kitu kibaya sana kwa sisi wachumi.

Ikumbukwe karibia nusu ya makusanyo analipa mishahara ya wafanyakazi na mbaya kuliko yote sisi nitegemezi. Kuna kila sura na picha mataifa ya nje yakabana fund wakati tunaenda kwenye uchaguzi kutokana na kile kimetokea serikali y amitaa.

Sasa sector nyingi huwenda zikakumbana na ukata mkubwa sana. Kiasi kupunguza watu mfano makampuni yanayo Tegemea soko la ndani yatashindwa kuzalisha kwa wingi maana watu hawana pesa kununua jambo litawafanya punguza watu.

Sector ya fedha ndio kabisa imeuwawa mchezo wakuangalia akaunti za watu umefanya watu kutoipenda bank nakuleta shida kubwa kwa mabank. Mbaya kuliko yote ni hali yawateja ktk mabank yabiashara inatisha sana. Haijawahi tokea.
Pia tukumbuke serikali na sera yake ya kuwa na sungle account ambapo kila kinacho okotezwa kinatupiwa BOt yani bank za biashara hazina kitu same unataka watu wakopeshwe je watakopeshwaje mikopo nafuu.
Kushuka kwa riba za mikopo sio kwamba ni hali nzuri ya kifedha bali ni kushuka kwa uhitaji wa mikopo jambo sio la afya ktk sector ya fedha.

Maamuzi magumu yanabudi kufanyika kuokoa sector ya fedha.

Kiukweli miradi hii itatupa hali ngumu sana
Ishi kwa akili.
tuliipenda wenyewe
 
Back
Top Bottom