Smiling killer
JF-Expert Member
- May 1, 2018
- 1,291
- 1,121
I
na diamond inavyomtumia ndo inavyomuua kisanii shauri yake
Ni dhahiri kuwa CCM na Rais Magufuli wameona sasa mambo in magumu kiasi cha kutafuta njia za ulaghai kuwa win vijana (hasa wale iliowasahau) kupata ushawishi kwa kutumia umaarufu wa wanamuziki kuwatumia.
Ni matukio ya cheap popularity inayotumika kukuta mkuu wa nchi anapanga kupiga simu katikati ya show usiku wa manane eti anawapongeza na kuwasisitiza CCM oyee wakati pale Ni burudani na sio mkutano wa CCM.
Vijana shauri yenu, miaka minne hii matumaini yenu yameingia mashaka na mwaka huu 2020 endeleeni kuimbishwa CCM oyee huku anayetumika kuwahadaa anapiga pesa ndefu nyie hadi mtazeeka na vyeti vyenu no kazi no mtaji!
Mtakaa kwa wazazi wenu mpaka mtaona mnachukiwa, mtatembeza bidhaa juani bila matumaini hadi mtazeeka na bodaboda zitawatia vilema na kuwa mzigo kwa familia kisa HUBA kwa CCM iliyowatosa na Magufuli anayejali pride yake kuwa ananunua ndege mtakazo ziona tuu angani huku zikiwa hazileti faida mkaifaidi bali kulambwa kodi kubwa ili kuzihudumia.
Shtuka kijana usipelekwe tuu kama Ling'ombe.
Sent using Jamii Forums mobile app
na diamond inavyomtumia ndo inavyomuua kisanii shauri yake