2020 vijana kaeni chonjo Diamond anatumika kuwalaghai muendelee kukandamizwa

Aaah CHADEMA watatumia bajeti yote kumchafua Diamond, badala ya kuimarisha uwezo wa kitaasisi! Wataridhika na matusi na kebehi za JF, bila kugusa mioyo ya watanzania.
 
Umefika wakati vijana kususia shoo za wasanii wanaofanya siasa kwenye burudani.
Yaani watu wanalipia shoo, halafu unaleta ujinga Diamond amelewa sifa,anadhani waganga wanaoroga mchana watamsaidia kuwapumbaza Watanzania.
 
Jiwe simpi kura yangu na yeye akaolewe mwaka huu, au akalime kama alivyokua anawatukana watz,
 
Mtaji wa Ma - CCM ni ujinga na umbumbumbu wa Watanzania walio wengi
 
Ila watanzania wa aina hii si shangai wanaumwa. Mnaamini vitu ambavyo havipo. Eti ccm imekwama wapi. Wakati sasa hivi chama kimeimarika kuliko wakati wowote wa tangu kianzishwe. Acheni kujidanganya.


Mtu anayeona vitu Ambavyo havipo mara nyingi ni kichaa. Acheni ukichaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna yupo alifikiria kuua upinzani sasa sijui hilo jambo limewezekana au bado!!😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom