• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

2020 vijana kaeni chonjo Diamond anatumika kuwalaghai muendelee kukandamizwa

S

Smiling killer

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2018
Messages
1,033
Points
2,000
S

Smiling killer

JF-Expert Member
Joined May 1, 2018
1,033 2,000
I
Ni dhahiri kuwa CCM na Rais Magufuli wameona sasa mambo in magumu kiasi cha kutafuta njia za ulaghai kuwa win vijana (hasa wale iliowasahau) kupata ushawishi kwa kutumia umaarufu wa wanamuziki kuwatumia.
Ni matukio ya cheap popularity inayotumika kukuta mkuu wa nchi anapanga kupiga simu katikati ya show usiku wa manane eti anawapongeza na kuwasisitiza CCM oyee wakati pale Ni burudani na sio mkutano wa CCM.
Vijana shauri yenu, miaka minne hii matumaini yenu yameingia mashaka na mwaka huu 2020 endeleeni kuimbishwa CCM oyee huku anayetumika kuwahadaa anapiga pesa ndefu nyie hadi mtazeeka na vyeti vyenu no kazi no mtaji!
Mtakaa kwa wazazi wenu mpaka mtaona mnachukiwa, mtatembeza bidhaa juani bila matumaini hadi mtazeeka na bodaboda zitawatia vilema na kuwa mzigo kwa familia kisa HUBA kwa CCM iliyowatosa na Magufuli anayejali pride yake kuwa ananunua ndege mtakazo ziona tuu angani huku zikiwa hazileti faida mkaifaidi bali kulambwa kodi kubwa ili kuzihudumia.
Shtuka kijana usipelekwe tuu kama Ling'ombe.

Sent using Jamii Forums mobile app
na diamond inavyomtumia ndo inavyomuua kisanii shauri yake
 
S

stakehigh

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2019
Messages
936
Points
500
S

stakehigh

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2019
936 500
Ingawa ccm ina mapungufu yake ila ni chama pekee bado kilichokomaa , bado mapungufu ya wapinzani ni mengi sana, upinzani ulishapoteza dira , bado ccm inafaa kuchaguliwa
 
Chakaza

Chakaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2007
Messages
33,824
Points
2,000
Chakaza

Chakaza

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2007
33,824 2,000
Umeongea pointi mkuu, hawajitambui hawa waungwana. Bila hata ya JPM kumpigia simu Diamond kumbuka kuwa huyo dogo ameshasema Magufuli Baba Lao, hayo maneno matatu kwa vijana wanaonunua kazi za Diamond ni kampeni tosha kabisa.

Hatujamzungumzia Harmonise na nyimbo aliyoibadilisha ikawa ya kisiasa.
Mkuu hata wewe unaliamini hilo? OK fine, kumbe CCM ni baba lao na Magufuli babalao, sasa Tuunde tume huru ya uchaguzi na vipengele kadhaa vya katiba virekebishwe tukisubiri mchakato mzima kisha tuingie uwanja huru kulicheza sebene octoba hii.
Hakika kwa maelezo yako CCM haina hata haja ya kampeni kwa jinsi ilivyo jikita kwa wananchi! Au vipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
T

Trillion

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2018
Messages
614
Points
1,000
T

Trillion

JF-Expert Member
Joined Apr 24, 2018
614 1,000
CCM ya Magufuli ilishakataliwa Tanganyika na Zanzibar. Duniani na Mbinguni. Na Magufuli na WAPUMBAVU wake wanalijua hilo. Wamekwama
 
The Invincible

The Invincible

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2006
Messages
5,631
Points
2,000
The Invincible

The Invincible

JF-Expert Member
Joined May 6, 2006
5,631 2,000
Ila watanzania wa aina hii si shangai wanaumwa. Mnaamini vitu ambavyo havipo. Eti ccm imekwama wapi. Wakati sasa hivi chama kimeimarika kuliko wakati wowote wa tangu kianzishwe. Acheni kujidanganya.


Mtu anayeona vitu Ambavyo havipo mara nyingi ni kichaa. Acheni ukichaa

Sent using Jamii Forums mobile app
ccm imelegea kuliko hata hayo marinda yako yaliyotatuliwa.
Inashikiliwa na dola tu.
 
Chakaza

Chakaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2007
Messages
33,824
Points
2,000
Chakaza

Chakaza

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2007
33,824 2,000
Wewe Ni mpuuzi na wenzako wote wanao kusuport, na hii inatokana na Akili zenu kutawaliwa na ujinga wa siasa kwa 99.9%.

Mtu kumupigia simu rafiki ake kumtakia kheri ya mwaka mpya Ni makosa?

Rafiki aliepigiwa simu na Rafiki ake kushare salamu za kheri za rafiki yake kwa rafiki zake aliokuwa nao (Wanakigoma nalo nikosa?).

Kwani Rais kuwatikia kheri ya mwaka mpya watanzania wa kigoma Ni dhambi? Au nikinyume kikatiba?

Watanzania punguzeni mihemuko ya Siasa aisee siyo kila Jambo mlihusanishe na siasa kumbukeni Kuna utu pia nje na siasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu akikusoma ndio anapogundua umuhimu wa elimu! Kapost kafupi hivyo unashindwa kisoma na kuelewa utaelewa nini kingine zaidi ya njia ya kwenda uani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mnyalilungulu

mnyalilungulu

Senior Member
Joined
Sep 27, 2019
Messages
170
Points
250
mnyalilungulu

mnyalilungulu

Senior Member
Joined Sep 27, 2019
170 250
Ni dhahiri kuwa CCM na Rais Magufuli wameona sasa mambo in magumu kiasi cha kutafuta njia za ulaghai kuwa win vijana (hasa wale iliowasahau) kupata ushawishi kwa kutumia umaarufu wa wanamuziki kuwatumia.
Ni matukio ya cheap popularity inayotumika kukuta mkuu wa nchi anapanga kupiga simu katikati ya show usiku wa manane eti anawapongeza na kuwasisitiza CCM oyee wakati pale Ni burudani na sio mkutano wa CCM.
Vijana shauri yenu, miaka minne hii matumaini yenu yameingia mashaka na mwaka huu 2020 endeleeni kuimbishwa CCM oyee huku anayetumika kuwahadaa anapiga pesa ndefu nyie hadi mtazeeka na vyeti vyenu no kazi no mtaji!
Mtakaa kwa wazazi wenu mpaka mtaona mnachukiwa, mtatembeza bidhaa juani bila matumaini hadi mtazeeka na bodaboda zitawatia vilema na kuwa mzigo kwa familia kisa HUBA kwa CCM iliyowatosa na Magufuli anayejali pride yake kuwa ananunua ndege mtakazo ziona tuu angani huku zikiwa hazileti faida mkaifaidi bali kulambwa kodi kubwa ili kuzihudumia.
Shtuka kijana usipelekwe tuu kama Ling'ombe.

Sent using Jamii Forums mobile app
acha wivu dogo mtu anapofanya jambo jema kwanini asipongezwe
 
C

Chintu

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2011
Messages
4,842
Points
2,000
C

Chintu

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2011
4,842 2,000
Nyinyi ndio wale ambao mnaamini kila msikialo, hata kama ni LA familia yako na kuishia kutoa talaka!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hatukusikia, TULISHUHUDIA.
Kwani we hukuona tulivomtupilia mbali mgombea wetu wa maana na tukaambiwa tuanze kumtukana kisa CCM wamefika dili na akina Tundu Lisu kutuuzia mgombea wao?
 
nsharighe

nsharighe

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Messages
1,066
Points
2,000
nsharighe

nsharighe

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2015
1,066 2,000
Nilipoona Diamond katika safari yake yupo na ujumbe wa Maafisa wa Ccm Majao makuu(Lumumba) nikajua anatumika ku brainWash watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
V

Vonix

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2011
Messages
2,571
Points
2,000
V

Vonix

JF-Expert Member
Joined Apr 23, 2011
2,571 2,000
Kachelewa, niliona hata mbeya, et anawimbisha watu waseme mwakyembe ni rais wa mbeya, huyo dogo ni mpuuz sana amekubali kutumika, na watanzania wote tumeanza kumuelewa
Wanasiasa wanawapenda sana wanmziki kama hao,we sikiliza hata nyimbo zao uone kama zina ujumbe wenye mantiki...hakuna
 
goggles

goggles

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Messages
2,032
Points
2,000
goggles

goggles

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2017
2,032 2,000
residentura

residentura

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Messages
1,740
Points
2,000
residentura

residentura

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2017
1,740 2,000
Diamond ameandaliwa Jimbo la Zitto Kabwe akamtoe pale ujiji,eti kwa vile ana ushawishi mkubwa kwa vijana na akina mama
Mungu wangu!!!
Bunge lijalo laweza kuwa la hovyo kupindukia kutokana na kuwa na wabunge wa umaarufu.
 

Forum statistics

Threads 1,402,696
Members 530,972
Posts 34,402,648
Top