2020 vijana kaeni chonjo Diamond anatumika kuwalaghai muendelee kukandamizwa

KIGOMA mtu asicheze nayo - barabara ya Nyakanazi hadi Kigoma ni jehanamu (sisi tutaendelea kumwombea kijana wetu Mondi ili afike mbali) Lkn wanaotufanya tule mwaka mpya wa 2020 bila kulipwa fedha za pamba tutawawajibisha, wanaofukuza watoto wetu vyuo vikuu tutawajibu,

Inshort kigoma hakuna zuzu
 
Aisee hamuishi uongo...Diamond na ubunge wapi na wapi?

Ila jana kitu alichokifanya cha kuwafanyia kampeni CCM wazi wazi inaweza ikaikosti carier yake iwapo chama dola kikiwa upinzani pia baadhi ya mashabiki wake ambao sio mbogamboga washamshusha.
Diamond ameandaliwa Jimbo la Zitto Kabwe akamtoe pale ujiji,eti kwa vile ana ushawishi mkubwa kwa vijana na akina mama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka huu tutashuhudia tena mashindano na tambo za kufuturisha kwenye Ramadan, miaka inaenda kasi sana tulishakumbuka zile futari.... mwaka wa neema kwetu wanyonge.
 
Huyo ni Rais, Ana wajibu wa kuwalea wasanii wa Tanzania. Naye Diamond kupigiwa simu na Mh Rais si kitu kidogo, hatumlaumu kwa kupandisha mzuka!
 
KIGOMA mtu asicheze nayo - barabara ya Nyakanazi hadi Kigoma ni jehanamu (sisi tutaendelea kumwombea kijana wetu Mondi ili afike mbali) Lkn wanaotufanya tule mwaka mpya wa 2020 bila kulipwa fedha za pamba tutawawajibisha, wanaofukuza watoto wetu vyuo vikuu tutawajibu,

Inshort kigoma hakuna zuzu
Kauli hii kama yatoka kwa watu wa Kigoma basi CCM inajichimbia kaburi tuu bila kujielewa.
Diamond hana kosa maana yeye anatengeneza brand yake shida hao wadandiaji! Chama kongwe linadandia matamasha ya "watoto" usiku ili kupata kiki?
kilewo2020mwanga___B6xbBLCHJIz___.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hata wewe unaliamini hilo? OK fine, kumbe CCM ni baba lao na Magufuli babalao, sasa Tuunde tume huru ya uchaguzi na vipengele kadhaa vya katiba virekebishwe tukisubiri mchakato mzima kisha tuingie uwanja huru kulicheza sebene octoba hii.
Hakika kwa maelezo yako CCM haina hata haja ya kampeni kwa jinsi ilivyo jikita kwa wananchi! Au vipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee wa maridhiano nakutakia mwaka 2020 wenye afya njema na mafanikio kwa kila utakalolifanya.
 
Ni dhahiri kuwa CCM na Rais Magufuli wameona sasa mambo in magumu kiasi cha kutafuta njia za ulaghai kuwa win vijana (hasa wale iliowasahau) kupata ushawishi kwa kutumia umaarufu wa wanamuziki kuwatumia.

Ni matukio ya cheap popularity inayotumika kukuta mkuu wa nchi anapanga kupiga simu katikati ya show usiku wa manane eti anawapongeza na kuwasisitiza CCM oyee wakati pale Ni burudani na sio mkutano wa CCM.

Vijana shauri yenu, miaka minne hii matumaini yenu yameingia mashaka na mwaka huu 2020 endeleeni kuimbishwa CCM oyee huku anayetumika kuwahadaa anapiga pesa ndefu nyie hadi mtazeeka na vyeti vyenu no kazi no mtaji!

Mtakaa kwa wazazi wenu mpaka mtaona mnachukiwa, mtatembeza bidhaa juani bila matumaini hadi mtazeeka na bodaboda zitawatia vilema na kuwa mzigo kwa familia kisa HUBA kwa CCM iliyowatosa na Magufuli anayejali pride yake kuwa ananunua ndege mtakazo ziona tuu angani huku zikiwa hazileti faida mkaifaidi bali kulambwa kodi kubwa ili kuzihudumia.

Shtuka kijana usipelekwe tuu kama Ling'ombe.

Sent using Jamii Forums mobile app

Naona imekuuma sana mkuu!! Pole kunywa maji upunguze stress zako.
 
Kwa ufupi DIAMOND ni adui yenu!
 
Adhabu ya wasanii kama hawa ni kuacha kusikiliza miziki yao ili kuwatia njaa
 
83 Reactions
Reply
Back
Top Bottom