2020 vijana kaeni chonjo Diamond anatumika kuwalaghai muendelee kukandamizwa

Sijaona mbadala wa JPM ndani ya CCM au nje ya CCM. Wacha amalizie kipindi chake cha pili ili atuachie maendeleo ya kweli...NTAMCHAGUA MAGUFULI
 
Ni dhahiri kuwa CCM na Rais Magufuli wameona sasa mambo in magumu kiasi cha kutafuta njia za ulaghai kuwa win vijana (hasa wale iliowasahau) kupata ushawishi kwa kutumia umaarufu wa wanamuziki kuwatumia.
Ni matukio ya cheap popularity inayotumika kukuta mkuu wa nchi anapanga kupiga simu katikati ya show usiku wa manane eti anawapongeza na kuwasisitiza CCM oyee wakati pale Ni burudani na sio mkutano wa CCM.
Vijana shauri yenu, miaka minne hii matumaini yenu yameingia mashaka na mwaka huu 2020 endeleeni kuimbishwa CCM oyee huku anayetumika kuwahadaa anapiga pesa ndefu nyie hadi mtazeeka na vyeti vyenu no kazi no mtaji!
Mtakaa kwa wazazi wenu mpaka mtaona mnachukiwa, mtatembeza bidhaa juani bila matumaini hadi mtazeeka na bodaboda zitawatia vilema na kuwa mzigo kwa familia kisa HUBA kwa CCM iliyowatosa na Magufuli anayejali pride yake kuwa ananunua ndege mtakazo ziona tuu angani huku zikiwa hazileti faida mkaifaidi bali kulambwa kodi kubwa ili kuzihudumia.
Shtuka kijana usipelekwe tuu kama Ling'ombe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tupe mchongo ili tubadili uelekeo mkuu.

Kumbe upinzani ukifanikiwa kuongoza nchi vijana tutapata maendeleo makubwa hata pasipo kufanya kazi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni dhahiri kuwa CCM na Rais Magufuli wameona sasa mambo in magumu kiasi cha kutafuta njia za ulaghai kuwa win vijana (hasa wale iliowasahau) kupata ushawishi kwa kutumia umaarufu wa wanamuziki kuwatumia.
Ni matukio ya cheap popularity inayotumika kukuta mkuu wa nchi anapanga kupiga simu katikati ya show usiku wa manane eti anawapongeza na kuwasisitiza CCM oyee wakati pale Ni burudani na sio mkutano wa CCM.
Vijana shauri yenu, miaka minne hii matumaini yenu yameingia mashaka na mwaka huu 2020 endeleeni kuimbishwa CCM oyee huku anayetumika kuwahadaa anapiga pesa ndefu nyie hadi mtazeeka na vyeti vyenu no kazi no mtaji!
Mtakaa kwa wazazi wenu mpaka mtaona mnachukiwa, mtatembeza bidhaa juani bila matumaini hadi mtazeeka na bodaboda zitawatia vilema na kuwa mzigo kwa familia kisa HUBA kwa CCM iliyowatosa na Magufuli anayejali pride yake kuwa ananunua ndege mtakazo ziona tuu angani huku zikiwa hazileti faida mkaifaidi bali kulambwa kodi kubwa ili kuzihudumia.
Shtuka kijana usipelekwe tuu kama Ling'ombe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe Ni mpuuzi na wenzako wote wanao kusuport, na hii inatokana na Akili zenu kutawaliwa na ujinga wa siasa kwa 99.9%.

Mtu kumupigia simu rafiki ake kumtakia kheri ya mwaka mpya Ni makosa?

Rafiki aliepigiwa simu na Rafiki ake kushare salamu za kheri za rafiki yake kwa rafiki zake aliokuwa nao (Wanakigoma nalo nikosa?).

Kwani Rais kuwatikia kheri ya mwaka mpya watanzania wa kigoma Ni dhambi? Au nikinyume kikatiba?

Watanzania punguzeni mihemuko ya Siasa aisee siyo kila Jambo mlihusanishe na siasa kumbukeni Kuna utu pia nje na siasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kutapatapa. hata angempigia simu Kabendera kumpa pole ya msiba isingeondoa laana aliyo jipalia kwa kuzuia huduma za msingi za marehemu mama Kabendera, atapiga simu mpaka mirembe kuwasalimia wendawazimu ila nafsi inamsuta sana tu.
 
Back
Top Bottom