2020 vijana kaeni chonjo Diamond anatumika kuwalaghai muendelee kukandamizwa

Ni dhahiri kuwa CCM na Rais Magufuli wameona sasa mambo in magumu kiasi cha kutafuta njia za ulaghai kuwa win vijana (hasa wale iliowasahau) kupata ushawishi kwa kutumia umaarufu wa wanamuziki kuwatumia.

Ni matukio ya cheap popularity inayotumika kukuta mkuu wa nchi anapanga kupiga simu katikati ya show usiku wa manane eti anawapongeza na kuwasisitiza CCM oyee wakati pale Ni burudani na sio mkutano wa CCM.

Vijana shauri yenu, miaka minne hii matumaini yenu yameingia mashaka na mwaka huu 2020 endeleeni kuimbishwa CCM oyee huku anayetumika kuwahadaa anapiga pesa ndefu nyie hadi mtazeeka na vyeti vyenu no kazi no mtaji!

Mtakaa kwa wazazi wenu mpaka mtaona mnachukiwa, mtatembeza bidhaa juani bila matumaini hadi mtazeeka na bodaboda zitawatia vilema na kuwa mzigo kwa familia kisa HUBA kwa CCM iliyowatosa na Magufuli anayejali pride yake kuwa ananunua ndege mtakazo ziona tuu angani huku zikiwa hazileti faida mkaifaidi bali kulambwa kodi kubwa ili kuzihudumia.

Shtuka kijana usipelekwe tuu kama Ling'ombe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Types of propaganda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee hamuishi uongo...Diamond na ubunge wapi na wapi?

Ila jana kitu alichokifanya cha kuwafanyia kampeni CCM wazi wazi inaweza ikaikosti carier yake iwapo chama dola kikiwa upinzani pia baadhi ya mashabiki wake ambao sio mbogamboga washamshusha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama huna taarifa usipinge kile usicho kijua.
 
Masanja mkandamizaji ametudanganya eti kaimba hakuna jipya chini ya juaaa! Hii ya boss kulihutubia taifa siku ya Mwaka mpya 2020 kupitia sanaa (diamond) sio jipya chini ya jua!!!!
 
Mimi hakuna mtu atakayenishawishi nimpigie kura fulani.... Iwe huko nje au jf.... Na nachelea kusema yote ni kama betting tu....Hakuna chama chenye garantii ya kufanya hayo ikiwa kitaingia madarakani...
 
Ila mwaka huu tuwe makini sana. Kasi ya watu kupotea itaongezeka kwa kasi.. Hapa JF pia si salama kabisaa..

Mawazo ka haya hayatawapendeza kabisaa.
Ni kweli, humu si salama kabisa. Watu wasijiamini humu, tusisitize kwa usalama wetu.
 
Unataka tumchague nani? Wapinzani bado hamna hadhi ya kushika dola tutaendelea kuichagua CCM mpaka mtakapo jitambua.

Sent using Jamii Forums mobile app
Najua nawe upo kwenye payroll ya polepole kuambulia buku saba hivyo hushangazi! Vipi like kimemo alichokupa umpelekee yule jamaa wa utumishi kimezaa matunda?
Eti mnaajiriwa serikalini muipiganie ccm na kuisifu kila wakati! Wanaojitambua hawana muda na ccm jombaa kwani Haina mbinu za kuinua uchumi wa mtu mmojammoja Wala taifa Tena! Zinduka na acha Mambo ya kizee!
 
Tuwe makini sana na hii mitandao! Familia zetu bado zinatuhitaji.
 
Ila watanzania wa aina hii si shangai wanaumwa. Mnaamini vitu ambavyo havipo. Eti ccm imekwama wapi. Wakati sasa hivi chama kimeimarika kuliko wakati wowote wa tangu kianzishwe. Acheni kujidanganya.

Mtu anayeona vitu Ambavyo havipo mara nyingi ni kichaa. Acheni ukichaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Giza huongezeka kukikaribia kukucha.....!!
 
Ni dhahiri kuwa CCM na Rais Magufuli wameona sasa mambo in magumu kiasi cha kutafuta njia za ulaghai kuwa win vijana (hasa wale iliowasahau) kupata ushawishi kwa kutumia umaarufu wa wanamuziki kuwatumia.

Ni matukio ya cheap popularity inayotumika kukuta mkuu wa nchi anapanga kupiga simu katikati ya show usiku wa manane eti anawapongeza na kuwasisitiza CCM oyee wakati pale Ni burudani na sio mkutano wa CCM.

Vijana shauri yenu, miaka minne hii matumaini yenu yameingia mashaka na mwaka huu 2020 endeleeni kuimbishwa CCM oyee huku anayetumika kuwahadaa anapiga pesa ndefu nyie hadi mtazeeka na vyeti vyenu no kazi no mtaji!

Mtakaa kwa wazazi wenu mpaka mtaona mnachukiwa, mtatembeza bidhaa juani bila matumaini hadi mtazeeka na bodaboda zitawatia vilema na kuwa mzigo kwa familia kisa HUBA kwa CCM iliyowatosa na Magufuli anayejali pride yake kuwa ananunua ndege mtakazo ziona tuu angani huku zikiwa hazileti faida mkaifaidi bali kulambwa kodi kubwa ili kuzihudumia.

Shtuka kijana usipelekwe tuu kama Ling'ombe.

Sent using Jamii Forums mobile app

Acha wivu mkuu sio dhambi Rais kupiga simu katikati ya burudani
 
Back
Top Bottom