2020 Uchaguzi utakua si wa vyama kwa vyama bali ni wananchi na serikali ya CCM


atlas copco

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2015
Messages
2,719
Likes
2,157
Points
280

atlas copco

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2015
2,719 2,157 280
Nakubaliana na issue ya usalama wa nchi. Ila ya uchumi na utendaji kazi, sidhani.

Wananchi watatakwa chagua, kati ya vitendo vya Magufuli: miundombinu, elimu bure, usimamizi wa mapato serikali...etc. au Siasa maneno ya vyama pinzani

Namaanisha: Sera ya maendeleo, elimu, au uchumi ya chadema ni hipi?

Hili halipo wazi!!

Magufuli atasimama na kutaja aliofanya, aliojenga, atakayojenga; Kupitia CCM na kusukuma chama.

Kikwazo kikubwa na swala na Usalama na Sifa ya demokrasia. Lakini hili sidhani kama litakuwa kizuizi.

Mpaka sasa, ni chadema ndo wanaopoteza madiwani. Na Approval rate bado nzuri kwa CCM.

Kwahiyo, sidhani kama upo sahihi 100%. Ila naelewa mtazamo wako.
Nyie Wote ndio walewale

Sent from my SM-G903F using JamiiForums mobile app
 
Joined
Mar 22, 2018
Messages
29
Likes
24
Points
5

FrancisDA

Member
Joined Mar 22, 2018
29 24 5
Kinachonifurahisha sana, vijana wa mitandaoni ni mabingwa wa kuwapigia wananchi kura.. jidanganyeni leo huku mitandaoni baadae mje mseme mmeibiwa kura... mmewekeza kwenye kupiga kelele mitandaoni...wabunge kila siku mahakamani... hata kwenye majimbo yao wamesahaulika na wapiga kura wao halaf kirahisi mseme 2020 nyooo...

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Hahaha
 

mzamifu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2010
Messages
3,804
Likes
1,045
Points
280

mzamifu

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2010
3,804 1,045 280
Wapinzani wengi hawatapiga kura kwa hasira. Hii itawapa ccm ushindi. Vyama vya upinzani vianze kuwaandaa wapiga kura mapema la civo mambo c mazuri. Ila ccm watapigiwa kura na idadi ndigo ya watanzania na wengi wasio waelewa
 

Forum statistics

Threads 1,204,968
Members 457,641
Posts 28,178,263