2020 Uchaguzi utakua si wa vyama kwa vyama bali ni wananchi na serikali ya CCM

Nakubaliana na issue ya usalama wa nchi. Ila ya uchumi na utendaji kazi, sidhani.

Wananchi watatakwa chagua, kati ya vitendo vya Magufuli: miundombinu, elimu bure, usimamizi wa mapato serikali...etc. au Siasa maneno ya vyama pinzani

Namaanisha: Sera ya maendeleo, elimu, au uchumi ya chadema ni hipi?

Hili halipo wazi!!

Magufuli atasimama na kutaja aliofanya, aliojenga, atakayojenga; Kupitia CCM na kusukuma chama.

Kikwazo kikubwa na swala na Usalama na Sifa ya demokrasia. Lakini hili sidhani kama litakuwa kizuizi.

Mpaka sasa, ni chadema ndo wanaopoteza madiwani. Na Approval rate bado nzuri kwa CCM.

Kwahiyo, sidhani kama upo sahihi 100%. Ila naelewa mtazamo wako.
Nyie Wote ndio walewale

Sent from my SM-G903F using JamiiForums mobile app
 
Kinachonifurahisha sana, vijana wa mitandaoni ni mabingwa wa kuwapigia wananchi kura.. jidanganyeni leo huku mitandaoni baadae mje mseme mmeibiwa kura... mmewekeza kwenye kupiga kelele mitandaoni...wabunge kila siku mahakamani... hata kwenye majimbo yao wamesahaulika na wapiga kura wao halaf kirahisi mseme 2020 nyooo...

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Hahaha
 
Wapinzani wengi hawatapiga kura kwa hasira. Hii itawapa ccm ushindi. Vyama vya upinzani vianze kuwaandaa wapiga kura mapema la civo mambo c mazuri. Ila ccm watapigiwa kura na idadi ndigo ya watanzania na wengi wasio waelewa
 
Nina maana kubwa sana kusema hayo kwani kawa awamu hii ya tano wanachi wamepima uongozi uliopo madarakani kupitia mambo haya

•Uchumi kwa mtu mmoja mmoja na Taifa zima
•Hali ya usalama nchi
•Utendaji kazi kwa viongo na maamuzi yao kwa wanachi wanao waongoza

Sinta weza kushanga vyama pinzani vikipokea wanachama wengi na kupata viti vingi Bungeni na kinyume cha hapo
View attachment 725671
Ha
 
Haya miaka kadhaa sasa utabili umetimia
 
Back
Top Bottom