atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,290
- 9,389
Nyie Wote ndio walewaleNakubaliana na issue ya usalama wa nchi. Ila ya uchumi na utendaji kazi, sidhani.
Wananchi watatakwa chagua, kati ya vitendo vya Magufuli: miundombinu, elimu bure, usimamizi wa mapato serikali...etc. au Siasa maneno ya vyama pinzani
Namaanisha: Sera ya maendeleo, elimu, au uchumi ya chadema ni hipi?
Hili halipo wazi!!
Magufuli atasimama na kutaja aliofanya, aliojenga, atakayojenga; Kupitia CCM na kusukuma chama.
Kikwazo kikubwa na swala na Usalama na Sifa ya demokrasia. Lakini hili sidhani kama litakuwa kizuizi.
Mpaka sasa, ni chadema ndo wanaopoteza madiwani. Na Approval rate bado nzuri kwa CCM.
Kwahiyo, sidhani kama upo sahihi 100%. Ila naelewa mtazamo wako.
Sent from my SM-G903F using JamiiForums mobile app