Lutandagula
JF-Expert Member
- Apr 8, 2018
- 1,758
- 2,155
Umemaliza kunywa Shimha?Alipo tupo.....twende na Membe 2020 huyu anayesema yeye alisukumiwa urais apumzike tu kiukweli .....walio karibu na Membe tunaomba mfikishieni salamu kwamba tunamuhitaji sanaa...Kwenye hicho kikao walichomuitia huko Lumumba aende na maiki yake, asile wala kunywa chochote, kiti walichomwandalia asikalie, ni hayo tu