2020 twende na Membe ama January Makamba?

2020 twende na Membe ama January Makamba?

Chadema wamepagawa na Membe!!

CCM haidhihakiwi mjur
Zigo lenu hilo wala Chadema haihusiki, ndiyo tatizo kila mkiharibu mnaisingizia Chadema. Mkishindwa kutia wake zenu mimba mnaisingizia Chadema. Mafisiem yanaruka na kukanyagana hadi raha.
 
Mkuu naomba uniruhusu no download hii logo kwaajili ya kuweka do kwenye simu yangu ya whatsaap. Narudi CCM walahi siyo kwa utamu huu.
 
Ahahahahhahaha ako kaneno sawa na kale kwa nyimbo ya Mond au?
Ng'wang"walu = Maneno maneno,roporopo.

huku uswahilini kwetu ndio chimbuko la maneno mapya,mfano hii kama yote/lote nimelisikia likitumika mwaka jana lakini limekuja kusambaa mwaka huu,so hata hilo ngwangwalu litegemee kulisikia likitumika kuanzia mwakani.
 
Naona mmeamua kumtibua jiwe.
AAAA WAPI MCHEZO WA KITOTO HUO
WANAUME HUWA TUNA FANYA KWELI
NENDENI SEGEREA MKAJIONEE WALAHI
HUO NDIO UWANAUMME NA SIO KUSHINDA MITANDAONI KUNADI CHAMA KISICHO KUWA CHAKO HAHAHAHA
MIZEE YA CHADRAMA MCHARUKO NI COMEDIANS KWA KWELI
MIJITU YA OVYO OVYO TU
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom