2020 twende na Membe ama January Makamba?

2020 twende na Membe ama January Makamba?

Normaly ni 2 terms president, je sekretarieti na halmashauri kuu ya CCM zimeridhia?
Hii ni hadidhi ya sungura kasema,mpango mzima ni 2025,au mabadiliko ya katiba mpya,au lije tufani size ya sunami.Lakini hadi 2025 ni business as usual.
 
Mmeanza Mmegeukana wenyewe kwa wenyewe... Teh teh teh tutaona mengi kabla ya 2020
 
Ahhahahahaah sawa
Bashite tunampeleka akawe mwambata,Allepo,mogadishu,au Sanaa Yemen,hata kama hatuna ubalozi huko.sie wanadiplomasia wabobezi hata tukikuadhibu tunakuadhibu kidiplomatiki.
 
Kwani Muda Wa Kampeni umeshatangazwa na Tume ya Uchaguzi? Au sheria za Nchi hamzijui

Ni kosa ni sawa na Kutaka KuMpindua Raisi
Tuondoleeni upuuzi hapa muda wa kampeni upi? Mbona magufuli anapigia kampeni CCM kila siku majukwaani tangu 2015 au wewe kipofu huoni?
 
Jiwe limepoteza mvuto. Limeharibu uchumi wetu hadi wananchi tunaishi kama mashetani. Ni kheri litupwe baharini tupate kustawi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom